Makaidi kuzikwa wiki ijayo
NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
MWILI wa Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi aliyefariki dunia juzi kwa shinikizo la damu unatarajiwa kuzikwa wiki ijayo.
Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka ndani ya familia ya marehemu Makaidi, zinaeleza kuwa atazikwa kati ya Jumatatu au Jumanne.
Mke wa marehemu, Modesta Makaidi ambaye jana jioni alikuwa njiani kuelekea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuupeleka mwili wa marehemu, aliliambia gazeti hili...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Dk Makaidi kuzikwa Dar
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/makaidi1.jpg?width=650)
MWILI WA DK. MAKAIDI WAAGWA KARIMJEE, KUZIKWA SINZA
10 years ago
Habarileo03 Apr
Che-Mponda kuzikwa Ludewa J4 ijayo
MAZIKO ya mwasisi wa Tanzania People’s Party (TPP), Dk Aleck Che-Mponda (80), aliyefariki dunia Machi 30, mwaka huu katika Hospitali ya Massana jijini Dar es Salaam, yatafanyika Aprili 7, mwaka huu kijijini kwao Manda wilayani Ludewa, Njombe.
10 years ago
Habarileo31 Oct
Bunge kuanza wiki ijayo
MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge unatarajiwa kuanza wiki ijayo, ambapo pamoja na mambo mbalimbali, utajadili miswada miwili binafsi, ukiwamo muswada binafsi wa mbunge, maazimio matatu na Muswada wa Kamati ya Bajeti.
10 years ago
Vijimambo10 Dec
JK kutoa maamuzi Escrow wiki ijayo
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/jk.jpg)
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, ilieleza kuwa Rais Kikwete atafanya maamuzi hayo baada ya kupokea ripoti, nyaraka na ushauri wa Bunge kuhusu akaunti hiyo.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa Rais Kikwete alipokea Ripoti ya...
9 years ago
Habarileo31 Dec
Kinondoni kujenga sekondari 6 wiki ijayo
WILAYA ya Kinondoni imeazimia wiki ijayo kuanza kujenga shule sita za sekondari katika kata zote ambazo hazina sekondari. Hatua hiyo imelenga kuwezesha wanafunzi 3,000 ambao wamefaulu mtihani wa darasa la saba na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza mwakani, wajiunge na masomo ya sekondari.
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Who is My Child kuingizwa sokoni wiki ijayo
FILAMU ya ‘Who is My Child’ inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wadau wa sinema za Kibongo, inatarajiwa kuingizwa sokoni Jumatatu ikiwa ni ya tatu kusambazwa na Kampuni ya 5 Effects...
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Madereva watishia kugoma wiki ijayo
11 years ago
Habarileo23 Jan
Wajumbe Bunge Katiba wiki ijayo
MAANDALIZI ya Bunge Maalumu la Katiba, yamefikia hatua nzuri zaidi na wiki ijayo majina 201 ya wajumbe wa nyongeza wa Bunge hilo, yatatangazwa katika Gazeti la Serikali ili kukamilisha wajumbe 604.