Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Singapore. Watakaofukuzwa kazi TRL kutangazwa wiki ijayo

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeWAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema wiki ijayo atatangaza majina ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL) watakaofukuzwa kazi, kutokana na kutokuwa na tija kwenye shirika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watakaofukuzwa kazi TRL kutangazwa wiki ijayo

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeWAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema wiki ijayo atatangaza majina ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL) watakaofukuzwa kazi, kutokana na kutokuwa na tija kwenye shirika.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto kuanza kazi wiki ijayo

Taasisi za Serikali na mashirika ya umma zitakuwa na wakati mgumu pale zitakapoanza kujitokeza mbele Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kama zitakuwa zimefanya matumizi ya fedha za umma kinyume na utaratibu.

 

10 years ago

Bongo5

Ni collabo na Diamond au na Mnigeria: Nay wa Mitego kuachia kazi mpya wiki ijayo

Rapper Nay wa Mitego, wiki ijayo anatarajia kuachia kazi yake mpya ambapo amesema ni kati ya collabo aliyofanya na Diamond Platnumz au na msanii wa Nigeria. Nay ameiambia Bongo5 kuwa, bado yupo kwenye upembuzi ili kujua ni kitu gani kitakuja kati ya kazi hizo. “Kuna uwezekano tukawa tunaachia wimbo mpya wiki ijayo,” amesema. “Ni kitu […]

 

10 years ago

Habarileo

Bunge kuanza wiki ijayo

MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge unatarajiwa kuanza wiki ijayo, ambapo pamoja na mambo mbalimbali, utajadili miswada miwili binafsi, ukiwamo muswada binafsi wa mbunge, maazimio matatu na Muswada wa Kamati ya Bajeti.

 

9 years ago

Mtanzania

Makaidi kuzikwa wiki ijayo

MakaidiNA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM

MWILI wa Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi aliyefariki dunia juzi kwa shinikizo la damu unatarajiwa kuzikwa wiki ijayo.

Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka ndani ya familia ya marehemu Makaidi, zinaeleza kuwa atazikwa kati ya Jumatatu au Jumanne.

Mke wa marehemu, Modesta Makaidi ambaye jana jioni alikuwa njiani kuelekea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuupeleka mwili wa marehemu, aliliambia gazeti hili...

 

10 years ago

Vijimambo

JK kutoa maamuzi Escrow wiki ijayo

  Aagiza ripoti ya CAG iwekwe kwenye magazeti, mitandao ya kijamiiRais Jakaya Kikwete, anatarajia kutoa maamuzi kuhusiana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wiki ijayo.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, ilieleza kuwa Rais Kikwete atafanya maamuzi hayo baada ya kupokea ripoti, nyaraka na ushauri wa Bunge kuhusu akaunti hiyo.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa Rais Kikwete alipokea Ripoti ya...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Aliyetibiwa’ na Magufuli kupasuliwa wiki ijayo

Mgonjwa aliyeahidiwa matibabu na Rais John Magufuli, Chacha Makenge amefanyiwa uchunguzi na majibu ya kipimo cha MRI na sasa anasubiri upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Who is My Child kuingizwa sokoni wiki ijayo

FILAMU ya ‘Who is My Child’ inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wadau wa sinema za Kibongo, inatarajiwa kuingizwa sokoni Jumatatu ikiwa ni ya tatu kusambazwa na Kampuni ya 5 Effects...

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe Bunge Katiba wiki ijayo

Rais Jakaya Kikwete.MAANDALIZI ya Bunge Maalumu la Katiba, yamefikia hatua nzuri zaidi na wiki ijayo majina 201 ya wajumbe wa nyongeza wa Bunge hilo, yatatangazwa katika Gazeti la Serikali ili kukamilisha wajumbe 604.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani