Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati yamkaba kigogo wa Uda

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), Robert Kisena amewekwa kiti moto kwa saa kadhaa na Kamati ya Bunge ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yamkaba CAG

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimembana Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kikimtaka aweke bayana vyama vya siasa ambavyo havijakaguliwa hesabu zake na aeleze lini vitakaguliwa....

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI ya Utendaji yaTFF imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi

KAMATI  ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi ili kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vituo vya michezo vya Kigamboni, Dar es Salaam na Tanga.
Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan, na...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

5 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole,  akieleza yaliyojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi, kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Polepole alitoa maelezo hayo wakati wa Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Waandishi wa habari.







Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

10 years ago

Dewji Blog

UDA wagoma!

418187_10150720984938420_416779873_n

Na Mwandishi wetu

MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazimmoja na Kivukoni jana waligoma kufanya kazi wakipinga agizo la uongozi kuwataka wapeleke hesabu ya sh 300,000 kwa siku.

Kutokana na mgomo huo abiria wanaosafiri katika njia hiyo, walipata usumbufu hadi pale ufumbuzi wa mgogoro huo ulipopatikana majira ya saa moja asubuhi.

Akizungumza niaba ya madereva na makondakta jijini Dar es Salaam, mmoja wa madereva, ambaye hakupenda jina lake...

 

11 years ago

Habarileo

Mgogoro UDA

SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limeingia katika mgogoro na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kwa ukiukwaji wa masharti ya leseni.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani