KAMBI KUPAA KIMATAIFA
NA JOSEPH SHALUWA
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Hashim Kambi amesema anamshukuru Mungu kwa kumaliza na kuuona Mwaka Mpya akiwa nchini Marekani huku akiahidi kuzidi kutusua kimataifa mwaka huu.
Akizungumza na Swaggaz kwa njia ya simu kutokea Washington DC, Marekani, Kambi amesema yupo katika hatua za mwisho kukamilisha sinema mpya anayorekodi nchini humo akiwa na mwigizaji mwenzake, Charles Magali.
“Tunaendelea na kurekodi huku Marekani, kazi ni nzuri sana na naamini itazidi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Ni wakati wangu sasa kupaa kimataifa
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Jumuiya ya kimataifa yaombwa kusaidia huduma kambi ya Nyarugusu
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) na ujumbe wake aliombatana nao Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini, Dkt. Natalia Kanem (wa pili kushoto) pamoja na Ofisa wa Mambo ya Nje kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maulidah Hassan (kushoto) kabla ya kuelekea kambi ya Nyarugusu walipita...
11 years ago
MichuziProf. Gabriel afunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana ijulikanayo kama International Youth Fellowship jijini dar
9 years ago
Habarileo30 Dec
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Siri ya TBL kupaa kimapato
PAMOJA na kuwepo na ushindani mkubwa wa bidhaa za bia hapa nchini na ukanda wote wa Africa, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), imeendelea kufanya vizuri nchini na kupata ongezeko la...
10 years ago
Mwananchi06 May
Bei ya Petroli yazidi kupaa
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Deni la taifa lazidi kupaa
9 years ago
Mwananchi31 Oct
Bei ya nyama yazidi kupaa
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Ruvuma wazidi kupaa kwa kilimo