Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Gabriel afunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana ijulikanayo kama International Youth Fellowship jijini dar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa hotuba wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana International Youth Fellowship (IYF) katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kama waziri mwenye dhamana ya kusimamia masuala ya Vijana kutoka kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Prof. Ole Gabriel mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyevaa suti akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiongea na wanahabari katika maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

Kambi ya mafunzo kwa Vijana yamalizika jijini Dar

Kwaya ya Gracias kutoka Korea ikitumbuiza katika kambi ya Vijana iliyomalizika jana katika viwanja vya mikutano vya Mlimani City.Kambi iyo mwaka huu imefanyika nchini ikijumuisha vijana elfu tatu duniani kote. Mkurugenzi msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Bi. Esther Riwa akiongea na Vijana mbalimbali baada ya Kuwapa somo kuhusu kuwa na Fikra Chanya ili kujiletea maendeleo na Stadi za Maisha.Vijana hao wameweka kambi katika Viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Bendi ya jeshi la polisi ikiongoza Maandamano ya siku ya vijana Duniani ,yaliyofanyika Agost 12 kila mwaka yaliyoanzia katika Shule ya Sekondari Jangwani na kuishia katika  viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Naibu Katibu  Mkuu wa Wizara ya habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo,Profesa Gabriel Ole Sante akizungumza  katika maadhimisho ya Siku ya Viajna Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja,jijini Dar es Salaam.
 Vijana wakionyesha ujuzi wao katika mchezo wa sarakasi...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANASAYANSI VIJANA JIJINI DAR LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wakati akifungua Kongamano la siku tatu la Kimataifa la Wanasayansi Vijana, linalojadili masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini, linaloendelea kwenye Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, ambapo Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Kongamano hilo la tatu la Kimataifa la Mtandao wa Wanasayansi Vijana Duniani (YES). Aidha Kongamano hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI YAADHIMISHWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Maandamano  yakiongozwa na bendi ya jeshi la polisi Baadhi ya vijana kutoka shule mbalimbali wakiandamana kuingia katika viwanja vya mnazi mmoja wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishw  jijini Dar es Salaam. Mashirika mbalimbali  ya mataifa yanayofanya shughuli za vijana ni kamaUNFPA, IYF, UNIC, ILO, RESTLESS DEVELOPMENT, YUNA, AMREF, MARIE STOPES, pamoja na PSI.(Picha zote na Geofrey Adroph)  Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,...

 

11 years ago

GPL

KANISA LA FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP LA SHEREKEA MIAKA 25 JIJINI DAR

Waumini toka  Mkoa wa Dodoma awakisherekea kwa kuimba nyimbo katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Waaumini toka sehemu mbalimba ya nchi ya Tanzania wakiwa katika maandamano maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kushoto ni askari polisi akiangalia usalama.…

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KONGAMANO LA 3 LA VIJANA WA TANZANIA NA CHINA, JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake jana Machi 29, 2015 wakati akifunga rasmi Kongamano la tatu la Vijana wa Tanzania na China, lililohusu masuala ya Uongozi, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini arusha.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika, Chen Lin, baada...

 

9 years ago

Michuzi

ELISANTE OLE GABRIEL AZINDUA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel leo Jumapili, Septemba 13, amezindua rasmi michuano ya Airtel Rising Stars kitaifa kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.Akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano hiyo, Ole Gabreil ameipongeza kampuni ya simu za mkononi ya Airtel nchini kwa kuendesha michuano hiyo, ambayo inawapa nafasi vijana wa kike na kiume kuonyesha vipaji vyao vya kucheza mpira wa miguu.Ole Gabriel ameiomba Airtel kuendelea...

 

11 years ago

Michuzi

Profesa Elisante Ole Gabriel mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya Awali ya Sunrise jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea zawadi ya maua kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi na Awali Sunrise ya jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya Saba ya wahitimu wa Darasa la Saba jana.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na M,ichezo Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na wazazi na wanafunzi wakati wa mahafali ya wahitimu wa Darasa la Saba wa Shule ya Msingi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani