Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kambi za kijeshi zavamiwa Burundi

Wanajeshi wa Burundi wafanikiwa kuzuia jaribio la uvamizi katika kambi kadhaa za kijeshi mjini Bujumbura usiku wa kuamkia leo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uchina kuweka kambi ya kijeshi Djibouti

Uchina inapanga kuweka kambi ya kijeshi nchini Djibouti kinyume na matarajio ya Marekani na Ufaransa ambazo tayari zinakambi zao huko

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchina kujenga kambi ya kijeshi Djibout

Uchina imethibitisha kwamba itajenga kambi yake ya kwanza ya kijeshi katika taifa la kigeni nchini Djibouti.

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Trump asema kambi za kijeshi zenye majina ya majenerali waliotukuza utumwa ni turathi ya Marekani.

Rais wa Marekani Donld Trump anasema kwamba hana mpango wa kubadilisha majina ya kambi za kijeshi zilizotajwa baada ya majenerali walioongoza jeshi la Marekani.

 

10 years ago

GPL

WANAHARAKATI WA BURUNDI WAWATAKA MARAIS WA EAC KUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUMNG’OA NKURUNZIZA

Wanaharakati hao wakiwa katika mkutano na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa Taasisi ya Burundi Women and Girls Movement, Prof Christine Mbonyingingo (kati) akizungumza na wanahabari.  Rais wa Taasisi ya Fight For Ongoing Torture, Niyongere Armel akisisitiza…

 

10 years ago

GPL

WAKIMBIZI SABA WA BURUNDI WAFARIKI DUNIA KAMBI ZA KIGOMA

Wakimbizi wa Burundi. ...wakiwa kambini. Raia saba wa Burundi wamefariki dunia wakiwa nchini Tanzania kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kuhara miongoni mwa wakimbizi wa Burundi waliofika hivi karibuni nchini humo. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR, kwa ushirikiano na serikali ya Tanzania linachukua hatua za dharura kudhibiti mlipuko huo. Katika taarifa iliyotolewa Jumapili, UNHCR imesema kuwa wakimbizi…...

 

9 years ago

Michuzi

IDADI YA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI YAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU

 Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya afya katika kituo cha Red Cross kinachotoa huduma za afya kwa wakimbizi walioko katika kambi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Shirika la Red Cross ni mojawapo ya wadau wanaoshirikiana na Serikali kutoa huduma za afya katika kambi ya Nyarugusu. Mkimbizi kutoka Burundi akipata huduma ya maji katika moja ya vituo vya maji vilivyojengwa katika Kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu.  Huduma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wakimbizi kutoka Burundi waendelea kuwasili kambi ya Nyarugusu, Kasulu Kigoma

PICHA 1Mkimbizi  kutoka  Burundi,  Philipo Nyandungulu,   akishuka  kutoka  kwenye  basi  baada  ya  kuwasili katika  kambi  ya  wakimbizi  ya  Nyarugusu  iliyoko  Kasulu  mkoani  Kigoma.   Idadi  ya  wakimbizi  kutoka  Burundi  imekuwa  ikiongezeka  siku  hadi  siku  na  Wizara  ya  Mambo  ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.

PICHA 2

Baadhi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi, wanaohifadhiwa katika...

 

10 years ago

GPL

KIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VYOO

 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka…

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUWASAJILI WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ,WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA

 Mtoto Baraka Dombeni, akiwa na mama yake Bizimana Violet, akivishwa alama ya utambuzi muda mfupi baada ya kuwasili jana katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu, akitokea Wilaya ya Makamba nchini Burundi. Alama hii ni utambulisho wa kuwawezesha wakimbizi wanaofika katika kambi ya Nyarugusu kuandikishwa rasmi kabla ya kupewa hifadhi kambini hapo. Afisa Msajili Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi (UNHCR), Awadhi Nyanda akichukua taarifa toka kwa familia mojawapo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani