KAMERA YA GLOBAL ILIPOVINJARI KINONDONI NA ILALA
Mwanamuziki wa Bendi ya Diamond Musica ya jijini Dar es Salaam, River Sultan, akiwa kwenye pozi maeneo ya Mango Garden, Kinondoni, baada kujipiga ‘soap-soap’ jana. Mtoto huyu alinaswa maeneo ya Ilala-Karume jijini Dar es Salaam akiwa ametekwa na usingizi kiasi cha kujisahau kama yupo kibaruani. NA: MAYASA…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL MKOANI TABORA LEO
Wakazi wa Tabora wakipata 'gahawa' kwenye stendi kuu ya mabasi yaendao mikoani leo. ...Na hawa nao walinaswa kwenye kijiwe kingine wakipata 'gahawa'.…
11 years ago
GPLBARABARA ZA JIJI LA DAR KATIKA KAMERA YA GLOBAL
Askari wa usalama barabarani akitimiza majukumu yake eneo la Fire.
Foleni ni sehemu ya maisha ya wakazi wa Dar hapa ni maeneo ya Fire. Eneo la Mtaa wa Fire ambalo limejaa maji.…
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL IKIRANDARANDA MITAA YA JIJI LA DAR
Feri ya Mv Kigamboni ikiwa mzigoni. Abiria wakitoka maeneo ya Kigamboni wakishuka kutoka kwenye Feri.…
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL INAPOVINJARI MITAA YA DAR ES SALAAM
Eneo lililojaa taka ambalo ni moja ya njia wanazotumia wananchi wa sehemu za Yombo-Kilakala. Hii ni sehemu iliyoathiriwa na maji ya mvua sehemu za Yombo. Tatizo la foleni…
11 years ago
GPLJIJI LA DAR LILIVYOKUTWA NA KAMERA YA GLOBAL LEO
Maji yakiwa yamejaa barabarani maeneo ya Manzese jijini Dar kutokana na mvua.  Kazi ya ujenzi ikiendelea Barabara ya Morogoro kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi.…
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL ILIVYOJICHIMBIA SEHEMU MBALIMBALI JIJINI DAR
Mhubiri wa kidini aliyejulikana kama Hosea Cha Mungu akihubiri sehemu za Ubungo ambako alidai aliwahi kukutana na mwigizaji, marehemu Steven Kanumba huko Lagos, Nigeria kabla hajafa. Wasikilizaji wa hotuba ya Cha Mungu wakionyeshwa baadhi ya picha za wafuasi wa madhehebu ya Freemason.…
11 years ago
GPLCHUO CHA FILAMU (TFTC) KATIKA KAMERA YA GLOBAL
Wanafunzi wakimsikiliza mwalimu.
Bango la chuo cha TFTC kinachomilikiwa na muigizaji maarufu, Pastor Emmanuel Myamba.
Hili ni jukwaa la mazoezi.…
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL YATEMBELEA MITAA YA AMANI, MAWENZI TABATA, DAR
Barabara  hii iliyoko Mtaa wa Mawenzi inapitika kwa shida kwa kujaa tope. Mwendesha bodaboda akipenya katika njia iliyojaa vikwazo vya kila aina.…
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL PUBLISHERS ILIVYOMULIKA MAENEO YA VIUNGA VYA DAR
Hiki ni kisima kinachotumiwa na wakazi wa Yombo-Dovya karibu na mto Muki. Hapa ni eneo la Tanesco kitongoji cha Tandale.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania