Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamishina wa zamani TRA atajwa ufisadi

Serikali imeanza kuzichunguza benki ya Stanbic (T) na Kampuni ya Egma ya hapa nchini kutokana na kuhusika katika udanganyifu wa riba ya mkopo Dola za Kimarekani 600milioni (Sh1.3 trilioni) iliyopewa Tanzania na benki ya Standard ya Uingereza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Miss Tanzania atajwa ufisadi wa Sh1.3 trilioni

Aliyekuwa ofisa mwandamizi wa benki ya Stanbic tawi la Tanzania, Shose Sinare amehusishwa na mipango ya kifisadi ambayo imeisababishia Serikali ya Tanzania hasara ya Sh1.3 trilioni kati ya mwaka 2012 na 2013.

 

9 years ago

Mtanzania

JK: Sihusiki na ufisadi TRA

jk*Asema hajawahi kuagiza mfanyabiashara yeyote asamehewe kulipa kodi
*Aikingia kifua familia yake, awashukia wanaomtuhumu

NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amevunja ukimya na kusema hausiki yeye wala familia yake katika ukwepaji kodi kwa kutorosha makontena bandarini.

Pamoja na hali hiyo, amesema kuwa hajawahi katika utawala wake kuagiza mtu yeyote anayestahili kulipa kodi asilipe na wala haamini kwamba kuna mtu kwenye familia yake anaweza kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

MAZISHI YA KAMISHINA MSAIDIZI WA MAGEREZA(SACP), ANNETHY LAURENT

 Aliyekuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyanga Kamishina Msaidizi wa Magereza (SACP) Annethy Laurent. Mwili wa Marehemu Anneth ukiwasili katika Kanisa Katoliki Parokiani Segerea. Walio mbele ni Pamela  (mtoto wa dada yake na Marehemu) na aliyebeba picha ni mtoto wa Pamela ( Mjukuu wa Marehemu). Walioshika jeneza kushoto ni Mkuu wa Magereza mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Dk.Kato Rugainunura, kulia ni Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Magereza Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP)...

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''

Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHINA KOVA AWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUFUATA MAADILI

Kamanda wa Polisi  Kanda Maalum ya Dar es salaam,Kamishna Suleiman Kova (wa nne kutoka kushoto) amewataka askari wote  wa Kanda hiyo  kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia haki za binadamu, na kufuata maadili ya  kazi katika utendaji wao wa kila siku.
Kamishna Kova ameyasema hayo mwanzoni mwa wiki hii wakati akiongea na Maafisa na Wakaguzi wa Polisi katika kikao cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kusisitiza...

 

11 years ago

Michuzi

MAAFISA MAGEREZA KUTOKA NCHI MWANACHAMA WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA OFISINI KWA KAMISHINA JENERALI WA MAGEREZA

Maafisa Magereza au Taasisi zinazohusika na masuala ya urekebishaji kutoka Nchi Mwanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki,jana tarehe 26 Mei,2014 walitembelea ofisini kwa Kamishna Jenerali wa Magereza Ndg.John.C. Minja.Lengo kuu la ziara hiyo ni kubadilishana uzoefu katika Suala zima la uendeshaji wa Magereza pamoja na kujadiliana masuala ya Ulinzi na Usalama kwa Taasisi hizo. Picha ya Mbele ni Kamishna Jenerali wa Magereza John C Minja,Maafisa Wengine waliko katika sare ni ,wa kwanza...

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa atajwa

BAADA ya kuhitimishwa kwa Uchaguzi Mkuu na kumwingiza Ikulu, Dk.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond atajwa tena tuzo 3

DIAMOND (5)Diamond Platnumz

MWAKA ameufungua vizuri staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya kutajwa kuwania tuzo tatu za Trends Loaded Music, Too Exclusive pamoja na Hipipo Music.

Katika Tuzo za Hipipo Music ambazo hutolewa nchini Uganda na Nigeria, Diamond amefanikiwa kuingia katika vipengele vitatu ambavyo ni East African Super Hit, East african Best Video pamoja na Best African Artist of the Year.

Kwa upande wa Tuzo za Xclusive Music, Diamond ameingia katika kipengele kimoja cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani