Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa atajwa

BAADA ya kuhitimishwa kwa Uchaguzi Mkuu na kumwingiza Ikulu, Dk.

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Lowassa atajwa tena, Kada mkongwe atoa ya moyoni juu ya kifungo chake.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kutafakari jinsi kitakavyompata mgombea wake atakayepeperusha bendera ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho mkoa wa Arusha, Yona Merisho Nnko (74), ametoa ya moyoni akisema adhabu iliyotolewa na chama chao kwa makada sita kwa madai ya kuanza mapema kampeni za urais, inamlenga zaidi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

Nnko akizungumza na...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinara wa wizi Barclays atajwa

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtaja Ronald Mollel (37) mkazi wa Kimara Bonyokwa kuwa ndiye kinara wa wizi uliofanyika Aprili 15 mwaka huu katika Benki ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkufunzi wa Fifa atajwa Yanga

Mkufunzi wa Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Henry Tandau ametajwa kuchukua nafasi ya katibu mkuu wa klabu ya Yanga iliyoachwa wazi na Benno Njovu.

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond atajwa tena tuzo 3

DIAMOND (5)Diamond Platnumz

MWAKA ameufungua vizuri staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya kutajwa kuwania tuzo tatu za Trends Loaded Music, Too Exclusive pamoja na Hipipo Music.

Katika Tuzo za Hipipo Music ambazo hutolewa nchini Uganda na Nigeria, Diamond amefanikiwa kuingia katika vipengele vitatu ambavyo ni East African Super Hit, East african Best Video pamoja na Best African Artist of the Year.

Kwa upande wa Tuzo za Xclusive Music, Diamond ameingia katika kipengele kimoja cha...

 

10 years ago

Michuzi

Mwingereza atajwa Tamasha la Pasaka

MWIMBAJI wa kimataifa raia wa Uingereza, Ayobami David  ni mmoja wa waimbaji wanaopenekezwa sana na mashabiki waalikwe katika onesho la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka nchini. Ayobami ni mwimbaji ambaye anafanya vizuri katika muziki huo wa Kumtukuza Mungu kupitia nyimbo  mbalimbali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama alisema katika taarifa yake kuwa mwaka huu wanataka kutoka kivingine. “Mashabiki wamekuwa wakiomba tumualike Ayobami, bado tunapokea maoni...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeki atajwa kashfa ya Rushwa

Kashfa ya rushwa inayolikabili Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) imechukua sura mpya baada ya jana vyombo vya habari kubaini kuwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki na Waziri wake wa Mambo ya Nje, Nkosazana Dlamini-Zuma ndio walioidhinisha malipo ya Dola 10 milioni ili kuiwezesha nchi hiyo kupata tiketi ya kuandaa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pooley atajwa kuwa shujaa wa Ebola

Familia William Pooley anayetibiwa mjini London, baada ya kuambukizwa Ebola nchini Siera Leone wamesema anapata huduma bora

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda atajwa mbio za Urais 2015

PG4A2888

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipigiwa magoti na Matrida Kitwanga (kulia) mke wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kulia) baada ya kuwasili nyumbani kwa Naibu Waziri huyo, eneo la Usagara, nje kidogo ya jiji la Mwanza ambako alikwenda kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae Vedastus Kitwanga kilichotokea hivi karibuni. Katikati ni binti wa familia hiyo,Agnes Misoji Kitwanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Na Mwandishi wetu

Wakati makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani