Mbeki atajwa kashfa ya Rushwa
Kashfa ya rushwa inayolikabili Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) imechukua sura mpya baada ya jana vyombo vya habari kubaini kuwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki na Waziri wake wa Mambo ya Nje, Nkosazana Dlamini-Zuma ndio walioidhinisha malipo ya Dola 10 milioni ili kuiwezesha nchi hiyo kupata tiketi ya kuandaa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bsue-*vlnnaVH*u*jsR3SMkhOEtaUm0*Lq2LAx1qWCfX2ROq43nMDQLQPCKN*Ev6Z2YgUnxLCf46mTHSsDwS5ilXvGYSC52g/thabombekileatherchair.jpg?width=650)
SAKATA LA FIFA, THABO MBEKI AHUSISHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA
10 years ago
BBCSwahili28 May
Blatter azungumzia kashfa ya rushwa,Fifa
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Rais wa CONMEBOL ajiuzuru, uchunguzi wa kashfa ya rushwa juu yake waendelea
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Rais wa Shirikisho la Soka la Amerika Kusini (CONMEBOL), Juan Angel Napout (pichani) amejiuzulu nafasi yake ya urais huku uchunguzi ukiendelea kuhusu kuhusika na kashfa ya rushwa inayowakabili viongozi wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Katika taarifa iliyotolewa na CONMEBOL ilisema kuwa Napout amejiuzulu nafasi yake ya urais na nafasi yake kukaimiwa kwa muda na Wilmar Valdez ambaye kwa sasa ni rais wa Soka wa Chama cha Uruguay (AUF) mpaka uchaguzi washrikisho...
9 years ago
StarTV24 Nov
Vigogo Blatter na Platin hatarini kufungiwa miaka 7 kwa  Kashfa Ya Rushwa Fifa
Ndoto za Rais wa Shirikisho la soka Barani Ulaya,Michel Platin kuwania kiti cha urais wa FIFA sasa zinaonekana kuota mbawa kutokana na kamati ya maadili ya chombo hicho kikubwa cha soka kushauri wafungiwe miaka saba pamoja na Sepp Blatter
Platin pamoja na Sepp Blatter wanaotumikia adhabu ya kusimamishwa siku 90 ndani ya FIFA,kamati hiyo imebaini wana kosa baada ya kupeana fedha paundi milioni 1.3 zenye mazingira ya rushwa.
Kamati maalum inayosikiliza shauri hilo na kutoa hukumu kabla ya...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82060000/jpg/_82060428_82059525.jpg)
Mbeki 'used' prosecutor against Zuma
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76889000/jpg/_76889185_76888994.jpg)
Mbeki calls for Israel goods boycott
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Barua yasema Mbeki na Blatter walikubaliana
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Mbeki: Msiache kuenzi mema ya Mandela
10 years ago
StarTV06 Jun
Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA.
Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa inakumbwa na madai kwamba ilikuwa rushwa .
Utawala wa Afrika Kusini umekuwa ukisisitiza kwamba ulikuwa ni mchango wa kusaidia kukuza soka katika nchi za Caribbean.
Lakini waendesha mashtaka wa Marekani wanadai ilikuwa hongo, iliyoshawishi kupewa uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2010 .
Bwana Mbeki mwenyewe...