Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blatter azungumzia kashfa ya rushwa,Fifa

Rais wa FIFA Sepp Blatter ameibuka na kuzungumzia kashafa ya rushwa ndani ya shirikisho hilo kwa kusema wale wao watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo hawana tena ndani ya shirikisho hilo la Soka Duniani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Vigogo Blatter na Platin hatarini kufungiwa miaka 7 kwa  Kashfa Ya Rushwa Fifa

Ndoto za Rais wa Shirikisho la soka Barani Ulaya,Michel Platin kuwania kiti cha urais wa FIFA sasa zinaonekana kuota mbawa kutokana na kamati ya maadili ya chombo hicho kikubwa cha soka kushauri wafungiwe miaka saba pamoja na Sepp Blatter

Platin pamoja na Sepp Blatter wanaotumikia adhabu ya kusimamishwa siku 90 ndani ya FIFA,kamati hiyo imebaini wana kosa baada ya kupeana fedha paundi  milioni 1.3 zenye mazingira ya rushwa.

Kamati maalum inayosikiliza shauri hilo na kutoa hukumu kabla ya...

 

10 years ago

Africanjam.Com

RAISI WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA UFISADI



Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amejiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.Blatter alichaguliwa tena wiki iliopita licha ya maafisa wake saba wakuu kukamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi .
Lakini alisema kuwa mamlaka yake hayaungwi mkono na kila mtu. Shirikisho la FIFA lilikumbwa na mgogoro wa kukamatwa kwa maafisa wake...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbeki atajwa kashfa ya Rushwa

Kashfa ya rushwa inayolikabili Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) imechukua sura mpya baada ya jana vyombo vya habari kubaini kuwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki na Waziri wake wa Mambo ya Nje, Nkosazana Dlamini-Zuma ndio walioidhinisha malipo ya Dola 10 milioni ili kuiwezesha nchi hiyo kupata tiketi ya kuandaa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kashfa ya tiketi yakumbwa FIFA

Polisi nchini Brazil wamemkamata afisa mkuu mtendaji wa kampuni mshirika wa FIFA kwa tuhuma za uuzaji tiketi za kombe la dunia

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter. Zurich, Uswis
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, jana alijiuzulu cheo chake kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.Blatter alitangaza kujiuzulu jana jioni zikiwa ni siku nne tangu alipochaguliwa kwa mara ya tano kuiongoza Fifa. Alitangaza uamuzi huo kwenye makao makuu wa Fifa mjini Zurich akiwa ametumikia cheo cha urais...

 

10 years ago

Mwananchi

Blatter kujiuzulu Fifa

Zurich, Uswisi. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Blatter anawania Urais wa FIFA

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter,anagombea kiti cha urais katika uchaguzi wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika leo huko Zurich Uswisi.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA: Blatter asalia Kimya !

Rais wa FIFA Sepp Blatter kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu maafisa wakuu wa FIFA kukamatwa kufuatia tuhuma za ulaji rushwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika na Blatter uraisi FIFA

Afrika imesisitiza msimamo wake wa kumchagua Sepp Blatter katika nafasi ya urais katika uchaguzi wa FIFA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani