Mbeki: Msiache kuenzi mema ya Mandela
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu taifa likumbwe na msiba mzito wa kifo cha Nelson Mandela na kuzungumzia umahiri wa kiongozi huyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Mandela atazikwa na mema yake aliyotufundisha?
SASA ni hakika kwamba mtu mashuhuri zaidi Afrika amefariki. Nelson Mandela amefariki na atazikwa leo. Ni kama dunia imetikisika. Viongozi wa Afrika nao wameonekana wakihuzunika na wameongea kwa masikitiko. Mandela...
10 years ago
Bongo529 Sep
Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82060000/jpg/_82060428_82059525.jpg)
Mbeki 'used' prosecutor against Zuma
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Mbeki atajwa kashfa ya Rushwa
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76889000/jpg/_76889185_76888994.jpg)
Mbeki calls for Israel goods boycott
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Barua yasema Mbeki na Blatter walikubaliana
11 years ago
Habarileo25 Apr
Pemba watakiwa kuenzi Muungano
WANANCHI wa Pemba wametakiwa kuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaotimiza umri wa miaka 50 kesho; ukitajwa kuwa umesaidia kuimarisha miradi ya uchumi na maendeleo.
10 years ago
StarTV06 Jun
Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA.
Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa inakumbwa na madai kwamba ilikuwa rushwa .
Utawala wa Afrika Kusini umekuwa ukisisitiza kwamba ulikuwa ni mchango wa kusaidia kukuza soka katika nchi za Caribbean.
Lakini waendesha mashtaka wa Marekani wanadai ilikuwa hongo, iliyoshawishi kupewa uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2010 .
Bwana Mbeki mwenyewe...
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba