Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pooley atajwa kuwa shujaa wa Ebola

Familia William Pooley anayetibiwa mjini London, baada ya kuambukizwa Ebola nchini Siera Leone wamesema anapata huduma bora

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mshambulizi Paris atajwa kuwa ni Omar Mostefai

Mshambulizi Paris atajwa:Omar Mostefai

Waendesha mashtaka wanaouchunguza matukio ya mashambulio ya kigaidi mjini Paris Ufaransa wamemtaja mmoja wa washambuliaji 7 wa kujitoa mhanga.

Omar Ismail Mostefai mwenye umri wa miaka 29 anasemekana kuwa ni raia wa ufaransa aliyekuwa anachunguzwa na polisi wa kupamabana na ugadi kabla hajatoweka.

Mtu huyo tayari alikuwa na rekodi ya uhalifu.

Omar ametambuliwa kutokana na kidole kilichopatikana katika eneo la tukio.

Kiongozi wa mashtaka wa Ufaransa...

 

9 years ago

Vijimambo

WATAALAMU WA MAMBO YA SIASA WANAKWAMBIA KUWA ETI SLAA NI SHUJAA WA TAIFA


Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa.HOTUBA ya kwanza tangu ‘atoweke’ kwenye anga za siasa ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa, aliyoitoa juzi Jumanne juu ya kujiweka pembeni, imepokelewa kwa hisia tofauti huku wengi wakimuita kuwa ni shujaa wa taifa kutokana na ujasiri wake, Ijumaa lina kila kitu.Katika mahojiano yaliyowahusisha wananchi na wachambuzi mbalimbali wa mambo ya kisiasa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa wasanii wa fani mbalimbali wamuaga JK, wamtangaza kuwa shujaa wa sanaa ya muziki nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City  katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa...

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA WASANII WA FANI MBALIMBALI WAMUGA JK,WAMTANGAZA KUWA SHUJAA WA SANAA YA MUZIKI NCHINI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City  katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Mashabiki watakiwa kuwa na subra

Mlinzi wa Ivory Coast Kolo Toure amewataka mashabiki katika michuano ya mataifa ya Afrika nchini Equitorial Guinea kuwa na Subra

 

11 years ago

BBCSwahili

W.H.O:Ebola inaweza kuwa janga baya

shirika la afya duniani lasema kuwa ugonjwa wa Ebola Magharibi mwa Afrika unaweza kusababisha janga baya iwapo hautazuiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hofu ya Ebola kuwa sugu kutibu

Wanasayansi wanaokabiliana na janga la Ebola nchini Guinea wanasema kwamba virusi vianvyosababisha Ebola vimeanza kuwa sugu hali ambayo inaifanya vigumu kutibu ugonjwa wa Ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani