Kampeni ya CHF/ TIKA yaanza
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kushirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, umeanza kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha jamii kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/TIKA).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog19 Jun
Kampeni ya ushawishi CHF yaanza Singida
Timu ya wataalamu kutoka NHIF mkoa wa Singida na ofisi ya DMO wilayani Singida, wakiendesha zoezi la upimaji wa afya kwa wananchi wa kata ya Msange wilayani Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
MFUKO wa taifa wa bima ya afya (NHIF)Mkoa wa Singida, umeanzisha kampeni ya utoaji elimu juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo, na ule wa afya ya jamii (CHF),ili wananchi waweze kujijengea mazingira ya kupata matibabu hata wakati hana fedha.
Katika kampeni hiyo wananchi watapata nafasi ya...
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Dk. Kone abariki mifuko ya afya ya Jamii ya CHF, TIKA mkoani Singida
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, amezitaka halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mipango endelevu ya kuongeza michango ya wananchama wa mifuko ya afya ya jamii (CHF) na TIKA, ili mkoa uweze kujijengea uwezo wa kutoa huduma bora kwa wanachama wa mifuko hiyo.
Dk. Kone ametoa wito huo wakati akifungua kikao cha kazi cha kuhamasisha CHF na TIKA kwa viongozi wa mkoa na halmashauri zote mkoani hapa.
Katika hotuba...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
NHIF kuendesha kampeni jamii kujiunga CHF
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kuendesha kampeni ya siku 60 nchini kuhamasisha jamii kujiunga na huduma za mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/Tika). Kampeni hiyo ambayo...
10 years ago
Dewji Blog28 Apr
NHIF yazindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)
Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa wilaya ya Kilwa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika katika kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi, Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa mkoani Lindi Bi Fortunata Raymond.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
NHIF yaendelea na kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na CHF katika kijiji cha Chumo Kilwa
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya zahanati ya kijiji hicho wakati wa mwendelezo wa kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na huduma ya Afya ya Jamii CHF inayotolewa na NHIF, Ambapo wananchi mbalimbali walipima afya kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza na kujiunga na huduma hiyo kwenye uwanja wa shule...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Q-3sTyysARk/VT59UxNHILI/AAAAAAAArxw/qznEj6UycAE/s72-c/MMGL0480.jpg)
Ulega azindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Wilayani Kilwa leo
Ulega ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya uhamasiahaji wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) inafanywa na Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika halmashauri kumi nchi nzima iliyozinduliwa kata ya Tingi njia nne wilayani kilwa.
Ulega amesema Serikali kupitia mfuko...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
LSA yaanza kampeni Rollingstone
TIMU za vijana chini ya miaka 15 na 20 za Lindi Soccer Academy (LSA), leo zinatupa karata yao ya kwanza katika michuano ya vijana ya Rollingstone kwa nchi za Afrika...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Kampeni kubwa chukia uchafu yaanza Ilala
WILAYA ya Ilala imeanzisha kampeni ya wiki tatu ya usafi katika maeneo yaliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutoa elimu na kuyaweka maeneo hayo safi na salama.
10 years ago
Habarileo19 Oct
Kampeni ya chanjo ya surua, rubella yaanza kwa kishindo
SERIKALI imesema haitasita kuagiza chanjo zilizopo na zitakazogunduliwa baadaye ili kuwakinga Watanzania na maradhi yanayozuilika kwa chanjo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashidi.