LSA yaanza kampeni Rollingstone
TIMU za vijana chini ya miaka 15 na 20 za Lindi Soccer Academy (LSA), leo zinatupa karata yao ya kwanza katika michuano ya vijana ya Rollingstone kwa nchi za Afrika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Wazazi waibariki LSA Rollingstone 2014
WAZAZI na walezi wa wachezaji wa timu ya Lindi Soccer Academy (LSA), ya mjini hapa, wamebariki ushiriki wa kikosi hicho katika michuano ya mwaka huu ya vijana ya Rollingstone kwa...
10 years ago
Habarileo06 Nov
Kampeni ya CHF/ TIKA yaanza
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kushirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, umeanza kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha jamii kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/TIKA).
11 years ago
Dewji Blog19 Jun
Kampeni ya ushawishi CHF yaanza Singida
Timu ya wataalamu kutoka NHIF mkoa wa Singida na ofisi ya DMO wilayani Singida, wakiendesha zoezi la upimaji wa afya kwa wananchi wa kata ya Msange wilayani Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
MFUKO wa taifa wa bima ya afya (NHIF)Mkoa wa Singida, umeanzisha kampeni ya utoaji elimu juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo, na ule wa afya ya jamii (CHF),ili wananchi waweze kujijengea mazingira ya kupata matibabu hata wakati hana fedha.
Katika kampeni hiyo wananchi watapata nafasi ya...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Kampeni kubwa chukia uchafu yaanza Ilala
WILAYA ya Ilala imeanzisha kampeni ya wiki tatu ya usafi katika maeneo yaliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutoa elimu na kuyaweka maeneo hayo safi na salama.
10 years ago
Habarileo19 Oct
Kampeni ya chanjo ya surua, rubella yaanza kwa kishindo
SERIKALI imesema haitasita kuagiza chanjo zilizopo na zitakazogunduliwa baadaye ili kuwakinga Watanzania na maradhi yanayozuilika kwa chanjo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashidi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CSQS0lFM1ss/XteA-eY5S7I/AAAAAAALsbo/l6O9yGxlfb0TWsg8wSavkmaLqgUC7_RxQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200528_150030_889.jpg)
TUNDURU YAANZA KAMPENI YA KUWAFUATILIA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU
![](https://1.bp.blogspot.com/-CSQS0lFM1ss/XteA-eY5S7I/AAAAAAALsbo/l6O9yGxlfb0TWsg8wSavkmaLqgUC7_RxQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200528_150030_889.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
TFF yaokoa mashindano ya Rollingstone
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limejitosa kuokoa mashindano ya vijana ukanda wa maziwa makuu ambayo yalikuwa katika hatihati ya kufanyika na sasa waratibu Rollingstone Sports Academy ya mjini hapa chini...
9 years ago
VijimamboKAMPENI YA UHAMASISHAJI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUPITIA UENDESHAJI WA BAISKELI YAANZA MBEYA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/881.jpg)
KAMPENI YA UHAMASISHAJI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUPITIA UENDESHAJI WA BAISKELI YAANZA MBEYA