Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni za Magufuli zaua wawili

*Ni baada ya kukanyagwa wakiwa uwanjani

*Rais Kikwete awalilia,atuma salamu za pole

 

Ramadhan Libenanga Moro na Bakari Kimwanga, Handeni

MKUTANO wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli juzi uliingia dosari, baada ya watu wawili kufariki dunia na wengine 17 kujeruhiwa.

Tukio hilo la aina yake, lilitokea juzi jioni mkoani Morogoro wakati Dk. Magufuli alipohutubia maelfu ya wananchi wa mkoa huo katika Uwanja wa Jamhuri.

Vifo hivyo ni kutokana na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ajali za bodaboda zaua wawili

WATU wawili wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha bodaboda na gari zilizotokea jana jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

CCM Blog

TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS TANZANIA 2015: DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya, AGOSTI 28,2015. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOGMgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi  katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

9 years ago

Mwananchi

Watu wawili wafa kwenye mkanyagano mkutano wa Magufuli Moro

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa kutokana na mkanyagano uliotokea jana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli.

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu wawili na Mganga Mkuu wa Serikali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli



 

9 years ago

Mwananchi

Siku 10 kampeni za Dk Magufuli

Siku 10 tangu mgombea wa urais kupitia chama tawala (CCM), Dk John Magufuli alipozindua kampeni zake jijini Dar es Salaam zilizoambatana na ahadi mbalimbali kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kasi na kuijenga Tanzania mpya, zilikamilika juzi.

 

9 years ago

Raia Mwema

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli apigiwa kampeni na Mrema

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya kukutana njia panda ya Himo.

 Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Staili za Dk Magufuli, Lowassa zakoleza kampeni

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiwa zinaelekea ukingoni, vituko vinazidi kwenye majukwaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani