Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni 51 zapata uwakala wa ajira

Wizara ya Kazi na Ajira imepokea maombi ya kampuni ya wakala wa huduma za ajira 87 kati ya hizo 51 zimepata usajili kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink yawazawadia wazee wa Yombo Kilakala, Dar es salaam

 Mfanyakazi wa  Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Zabida Kibiki akimvisha shuka baada ya kumkabidhi msaada huo John Shitundu ambaye ni miongoni mwa wazee waliopo chini ya kituo chaTushikamane Pamoja Foundation wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee hao wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam. Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa  ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Roboti zapata ajira mgahawani China

Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya wafanyakazi kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yapongeza kupanua ajira Mwanza

MEYA wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula, ameupongeza uongozi wa Kampuni ya Tanzania ya Chemicotex, inayotengeneza mafuta ya nywele na vipodozi vinavyotokana na tunda la parachichi, kwa jitihada zake za...

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya simu yamwaga ajira 2,000

KAMPUNI ya simu ya Viettel ya Vietnam inayokua kwa kasi duniani ambayo sasa inahamishia nguvu zake katika soko la Tanzania, imetangaza ajira kwa wasomi wa Tanzania zaidi ya 2,000.

 

11 years ago

Mwananchi

Mawakala, kampuni za ajira zapigwa ‘stop’

Serikali imetoa miezi miwili kwa mawakala binafsi wa huduma za ajira kuacha mara moja kuajiri na kukodisha wafanyakazi, vinginevyo sheria kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kampuni ya Ujerumani yawapa wahamiaji ajira

Siemens, moja ya kampuni kubwa nchini Ujerumani, imejitenga na kampuni nyingine na kuamua kutoa ajira kwa wingi kwa vijana ambao wanawasili nchini humo kama wakimbizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni ya taka za plastiki kutoa ajira nchini

Kampuni ya kuhuisha (recycling) plastiki ya Kichina inayofanya shughuli zake jijini Dar es Salaam ina mpango wa kutanua shughuli zake kwa kuwekeza zaidi nchini na kuongeza ajira zaidi kwa Watanzania.

 

11 years ago

Dewji Blog

Onyo kuhusu utapeli wa ajira katika kampuni ya Tigo

TigoTanzania

Tumepata taarifa kwamba kuna baadhi ya watu wasiowaaminifu wanaojifanya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na kutumia mwanya huo kuwadanganya wananchi kujaza fomu feki kama njia ya kupata ajira katika kampuni yetu. Inadaiwa kwamba kila fomu inatozwa kiasi cha TZS 20,000 (Shilingi elfu ishirini). 

Tigo inapenda kuwataarifu wale wote wanaotafuta ajira katika kampuni yetu na umma kwa ujumla kwamba hakuna fomu za aina hii zinazotolewa kutoka mawakala, matawi au idara yoyote ya kampuni yetu....

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya kuhuisha taka za plastiki ya kichina kutoa ajira zaidi nchini

 Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United akifanyakazi katika moja ya mashine zinazotumika katika usagaji wa chupa chakavu za plastiki kabla ya kusafirishwa nchi za nje. Kampuni hiyo imetoa ajira zaidi ya 300 tangu ilipoanzishwa mwaka 2010, na inampango wa kujitanua katika mikoa mingine Tanzania.  Mfanyakazi wa kampuni ya Fusun Investment Co. United Limited akikusanya chupa chakavu za plastiki kwa ajili ya kuzisaga. Zaidi ya watanzania 300 wanafanyakazi katika kampuni hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani