Mawakala, kampuni za ajira zapigwa ‘stop’
Serikali imetoa miezi miwili kwa mawakala binafsi wa huduma za ajira kuacha mara moja kuajiri na kukodisha wafanyakazi, vinginevyo sheria kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziCORONA, ligi zapigwa STOP
Rasmi, kutokana na kuepuka maambukizi ya Virusi vya Corona, Ligi mbalimbali duniani zimesimamishwa.
Vyama vya soka katika nchi hizo zimetangaza kusimamisha michezo kadhaa hadi mwezi wa Aprili.
Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imetangaza kusimamisha michezo yote ya mpira wa miguu, FA, Premier League, EFL na Barclays FA Women’s Super League, pamoja na FA Women’s Championship hadi Aprili 04 mwaka huu ili kuepuka maambukizi ya virusi hivyo.
Ligi kuu Ufaransa (Ligue 1) pamoja na Ligue 2 zimesimamishwa...
10 years ago
Mtanzania04 Nov
Taasisi nne zapigwa ‘stop’ kutibiwa Muhimbili
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imesitisha kutoa huduma za matibabu kwa mkopo kwa taasisi nne nchini.
Taasisi hizo ni Shirika la Umeme Tanzania (Taneseco), Shirika la Bima la Taifa (NIC), Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tangu kupandishwa kwa gharama za huduma kwa wagonjwa wa rufani ambapo kwa sasa wanalazimika kulipia kitanda Sh 5,000 pamoja na Sh 2,000 ya chakula kwa siku.
Kwa...
11 years ago
Habarileo11 Mar
‘Marufuku mawakala wa ajira kuajiri’
SERIKALI imesisitiza kuwa suala la kupiga marufuku utaratibu wa mawakala wa ajira, kuwaajiri wafanyakazi wanaowatafutia kazi bado liko palepale. Akizungumza leo, Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwan Wema alisema kwa sasa wizara iko katika hatua ya kuchambua maombi ya usajili wa kampuni na wakala na kuwa baada ya hapo watachukua hatua stahiki kwa watakaokaidi agizo la Serikali.
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Kampuni 70 za mawakala zafungwa Tanzania
10 years ago
GPLMAWAKALA NA WAUZA MAGAZETI WASHEREHEKEA MIAKA 17 YA KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA TRAVELPORT YAZINDUA MFUMO MPYA UTAKAOWAWEZESHA MAWAKALA WA NDEGE KUUZA TIKETI KIURAHISI ZAIDI
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Kampuni 51 zapata uwakala wa ajira
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Kampuni yapongeza kupanua ajira Mwanza
MEYA wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula, ameupongeza uongozi wa Kampuni ya Tanzania ya Chemicotex, inayotengeneza mafuta ya nywele na vipodozi vinavyotokana na tunda la parachichi, kwa jitihada zake za...
10 years ago
Habarileo11 Nov
Kampuni ya simu yamwaga ajira 2,000
KAMPUNI ya simu ya Viettel ya Vietnam inayokua kwa kasi duniani ambayo sasa inahamishia nguvu zake katika soko la Tanzania, imetangaza ajira kwa wasomi wa Tanzania zaidi ya 2,000.