Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi nne zapigwa ‘stop’ kutibiwa Muhimbili

MuhimbiliNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imesitisha kutoa huduma za matibabu kwa mkopo kwa taasisi nne nchini.

Taasisi hizo ni Shirika la Umeme Tanzania (Taneseco), Shirika la Bima la Taifa (NIC), Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tangu kupandishwa kwa gharama za huduma kwa wagonjwa wa rufani ambapo kwa sasa wanalazimika kulipia kitanda Sh 5,000 pamoja na Sh 2,000 ya chakula kwa siku.

Kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CORONA, ligi zapigwa STOP


Rasmi,  kutokana na kuepuka maambukizi ya Virusi vya Corona, Ligi mbalimbali duniani zimesimamishwa.

Vyama vya soka katika nchi hizo zimetangaza kusimamisha michezo kadhaa hadi mwezi wa Aprili.

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imetangaza kusimamisha michezo yote ya mpira wa miguu, FA, Premier League, EFL na Barclays FA Women’s Super League, pamoja na FA Women’s Championship hadi Aprili 04 mwaka huu  ili kuepuka maambukizi ya virusi hivyo.
Ligi kuu Ufaransa (Ligue 1) pamoja na Ligue 2 zimesimamishwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawakala, kampuni za ajira zapigwa ‘stop’

Serikali imetoa miezi miwili kwa mawakala binafsi wa huduma za ajira kuacha mara moja kuajiri na kukodisha wafanyakazi, vinginevyo sheria kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika.

 

10 years ago

GPL

MSAFIRI DIOF:AWASHAURI WATUMIAJI KWENDA MUHIMBILI, MWANANYAMALA KUTIBIWA BURE

Makala: Elvan Stambuli
MWANAMUZIKI mahiri wa muziki wa dansi nchini, Msafiri Diof amesema anajuta kwa kitendo chake cha kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ na kwamba ameshaamua kuachana nao kwa sababu hakuna faida yoyote aliyopata. Mwanamuziki Mashuhuri wa Twanga Pepeta, Msafiri Diof akiwa Global TV…

 

9 years ago

CCM Blog

MICHANGO YA WASAMARIA WEMA YAFANIKISHA JOYCE WA MBEYA KUWASILI MUHIMBILI KUTIBIWA

Ndugu Wasamaria wema,
Tunapenda  kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.


Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...

 

5 years ago

Michuzi

TAHADHARI KUHUSU WAGONJWA WANAOCHANGISHA FEDHA ZA MATIBABU YA MOYO KWA AJILI YA KUTIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)



Uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) unapenda  kuutahadharisha  Umma kuwa waangalifu na wagonjwa wanaochangisha fedha kwa ajili ya  kutibiwa katika Taasisi hii. Ndugu Mwananchi, inawezekana wagonjwa hao wanaochangisha fedha za matibabu wanakuwa tayari wamepata  msamaha wa matibabu kutoka kwa Taasisi au wasamaria wema...

 

10 years ago

Michuzi

Muhimbili yazichachafya taasisi za Serikali 84 Wiki ya Utumishi wa Umma

Na. Aminiel Aligaesha (MNH)Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imezichachafya taasisi 84 zilizoshiriki maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutwaa tuzo mbili kati ya tano maalum zikiashiria kuwa mshindi wa kwanza kwa kila tuzo. Tuzo ya kwanza ni ya ubunifu katika kutoa huduma iliyokuwa ikitaka taasisi kuwa na ubunifu ama wa kuiga (adoption) au asili (origin) na ambao haujawahi kufanyika hapa nchini na ubunifu huo uwe umeleta tija katika utoaji huduma eneo la kazi.
Katika tuzo hii MNH...

 

10 years ago

Vijimambo

DAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )

Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa Madaktari akidai kuwa amefiwa.Anaye daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya ulinzi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa amvalia nguo ya kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni Daktari wa Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa...

 

5 years ago

Michuzi

Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Muhimbili watembelea Kituo cha COVID-19 Hospitali ya Amana

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea  kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha  ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam  kwa ajili ya kuona namna ambavyo  madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza  kutoa huduma kwa wagonjwa hao.
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha  ugonjwa wa Corona (COVID – 19)  Dkt. Stanley Binagi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani