Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CORONA, ligi zapigwa STOP


Rasmi,  kutokana na kuepuka maambukizi ya Virusi vya Corona, Ligi mbalimbali duniani zimesimamishwa.

Vyama vya soka katika nchi hizo zimetangaza kusimamisha michezo kadhaa hadi mwezi wa Aprili.

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imetangaza kusimamisha michezo yote ya mpira wa miguu, FA, Premier League, EFL na Barclays FA Women’s Super League, pamoja na FA Women’s Championship hadi Aprili 04 mwaka huu  ili kuepuka maambukizi ya virusi hivyo.
Ligi kuu Ufaransa (Ligue 1) pamoja na Ligue 2 zimesimamishwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mawakala, kampuni za ajira zapigwa ‘stop’

Serikali imetoa miezi miwili kwa mawakala binafsi wa huduma za ajira kuacha mara moja kuajiri na kukodisha wafanyakazi, vinginevyo sheria kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika.

 

10 years ago

Mtanzania

Taasisi nne zapigwa ‘stop’ kutibiwa Muhimbili

MuhimbiliNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imesitisha kutoa huduma za matibabu kwa mkopo kwa taasisi nne nchini.

Taasisi hizo ni Shirika la Umeme Tanzania (Taneseco), Shirika la Bima la Taifa (NIC), Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tangu kupandishwa kwa gharama za huduma kwa wagonjwa wa rufani ambapo kwa sasa wanalazimika kulipia kitanda Sh 5,000 pamoja na Sh 2,000 ya chakula kwa siku.

Kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachezaji wasiopimwa afya ‘stop’ ligi

>Wachezaji wote wanaocheza katika  Ligi Kuu Tanzania Bara watalazimika kupima afya zao kabla ya Machi Mosi ili kuendelea kuzitumikia klabu zao.

 

5 years ago

CCM Blog

MITAA YA NAIROBI , MOMBASA KINARA KWA CORONA YAPIGWA STOP KUTOTOKA NJE SAA 24


Wakaazi wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika kipindi cha wiki mbili zijazo kuanzia saa moja usiku wa Jumatano Mei 6, 2020.
Hatua hiyo inalenga kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona katika maeneo mengine ya miji ya Nairobi na Mombasa huku wagonjwa wengine wapya 47 wakitangazwa na kufanya idadi ya maambukizi kufikia watu 580.
Akizungumza na vyombo vya habari Waziri wa Afya Mutahi kagwe amesema...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ligi ya Ujerumani Bundesliga kurejelewa Mei 16

Ligi kuu ya Ujerumani maarufu ,Bundesliga itarejelea mechi zake bila kuwa na mashabiki uwanjani tarehe 16 Mei..

 

5 years ago

BBCSwahili

Viruis vya corona: Magufuli ataka ligi ya kandanda Tanzania kuendelea

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kwamba anafikiria kuanzisha ligi ya kandanda ya Tanzania baada ya ligi hiyo kuahirishwa kwa wiki sita kutokana na athari za viruis vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

TIMU ZA LIGI KUU ZACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA


Na Zainab Nyamka-Michuzi TV

TIMU za Ligi Kuu tayari zimesharejea viwanjani kwa ajili ya mazoezi ya pamoja kujiandaa na Ligi Kuu inayotarajiwa kuendelea mapema mwezi Juni mwaka huu baada ya serikali kuruhusu michezo iendelee.

Hata hivyo timu hizo tayari zimechukua tahadhari zinazostahili kupambana na virusi vya Corona kwa kuwapima afya wachezaji wao sambamba na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.

Kwa upande wa Timu ya Polisi Tanzania, Ofisa Habari wao Frank Lukwaro amesema wamechukua...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shirikisho la kandanda Tanzania lajiandaa kuendelea kwa ligi

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania TFF pamoja na bodi ya ligi hiyo TPLB zinajiandaa kuendelea na ligi ya mchezo huo nchini licha ya kuwepo kwa virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani