Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachezaji wasiopimwa afya ‘stop’ ligi

>Wachezaji wote wanaocheza katika  Ligi Kuu Tanzania Bara watalazimika kupima afya zao kabla ya Machi Mosi ili kuendelea kuzitumikia klabu zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wasiopimwa afya kupigwa ‘stop’ VPL

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeziagiza klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara kuhakikisha zinawapima afya nyota wao kupitia madaktari wa timu zao na watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo hadi Machi Mosi...

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]

The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachezaji 30 wasajiliwa Ligi Kuu

Wakati dirisha dogo la usajili kwa timu za Ligi Kuu na zile za Ligi Daraja la Kwanza nchini likitarajiwa kufungwa jana saa 6 usiku, nyota 30 wamesajili kuchezea timu mbalimbali za Ligi Kuu hadi wakati gazeti hili linakwenda mtamboni.

 

5 years ago

Michuzi

CORONA, ligi zapigwa STOP


Rasmi,  kutokana na kuepuka maambukizi ya Virusi vya Corona, Ligi mbalimbali duniani zimesimamishwa.

Vyama vya soka katika nchi hizo zimetangaza kusimamisha michezo kadhaa hadi mwezi wa Aprili.

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imetangaza kusimamisha michezo yote ya mpira wa miguu, FA, Premier League, EFL na Barclays FA Women’s Super League, pamoja na FA Women’s Championship hadi Aprili 04 mwaka huu  ili kuepuka maambukizi ya virusi hivyo.
Ligi kuu Ufaransa (Ligue 1) pamoja na Ligue 2 zimesimamishwa...

 

9 years ago

Habarileo

Klabu Ligi Kuu zabanwa mikataba ya wachezaji

KLABU za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zinatakiwa kuwasilisha mikataba ya wachezaji wake kwa ajili ya kuidhinishwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

9 years ago

Habarileo

Wachezaji kufaidika na Bima ya Afya

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia makubaliano na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa kuzihudumia klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika makubaliano hayo, klabu za Ligi Kuu zitawajibika kuwalipia wachezaji wao kiasi cha Sh 76,800 kwa kila mchezaji kwa mwaka mzima, ambapo inalihusu pamoja na benchi la ufundi.

 

10 years ago

Africanjam.Com

ORODHA YA WACHEZAJI WALIOTEMWA NA TIMU ZAO LIGI YA UINGEREZA


Mchezaji wa Manchester United, Tom Cleverley ni miongoni mwa majina makubwa yaliyotangazwa kuachwa katika orodha ya ligi kuu England.Kwa taratibu za ligi kuu England, msimu ukishamalizika, timu zinatakiwa kuwasilisha majina ya wachezaji itakaowatema kuelekea msimu mpya.Baada ya kumalizika kwa msimu wa 2014/2015, wachezaji waliotangazwa kuachwa na baadhi ya timu za England hawa hapa;
PREMIER LEAGUE RELEASED LIST FOR 2014-15 
ArsenalAbou Diaby, Jack Jebb, Oluwasemilogo Adesewo Ajayi,Austin...

 

10 years ago

Africanjam.Com

LIST YA WACHEZAJI WANAOLIPWA PESA NYINGI ZAIDI LIGI YA MAREKANI


Kwanza kabisa ujue Kaka ndie mchezaji anaelipwa pesa nyingi kuliko wachezaji wote kwenye MLS ambapo yeye anapokea $7.16m (£4.51m) kwa mwaka. Pia anaefuatia sio Lampard wala Gerrad.Clint Dempsey ambae alikua Fulham and Tottenham na sasa anachezea Seattle Sounders, Michael Bradley wa Toronto FC wanalipwa pesa nyingi kuliko wachezaji hawa wa England.

.
Clint Dempsey analipwa kiasi cha $6.7m (£4.2m) na Michael Bradley analipwa $6.5m (£4.1m).Namba 4 anakaa Steven Gerrard amabe anacheza L.A Galaxy...

 

9 years ago

Mwananchi

Wachezaji nyota waliosajiliwa, kuachwa msimu huu Ligi Kuu

Wakati dirisha la usajili likifungwa leo saa 6 usiku klabu  mbalimbali zikiwa zimekamilisha harakati zao za usajili tayari kwa kuanza msimu mpya wa ligi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani