MSAFIRI DIOF:AWASHAURI WATUMIAJI KWENDA MUHIMBILI, MWANANYAMALA KUTIBIWA BURE
![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5RmpLIZ5ejVETro6C5ntsyz1HgcF-Ayz4BenffPygIKsouRN52ugzeB3aWdAQCXpeFXLiryuP5efdnhqdlBDlZn4r/MSAFIRI.jpg?width=650)
Makala: Elvan Stambuli MWANAMUZIKI mahiri wa muziki wa dansi nchini, Msafiri Diof amesema anajuta kwa kitendo chake cha kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ na kwamba ameshaamua kuachana nao kwa sababu hakuna faida yoyote aliyopata. Mwanamuziki Mashuhuri wa Twanga Pepeta, Msafiri Diof akiwa Global TV…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Nov
Taasisi nne zapigwa ‘stop’ kutibiwa Muhimbili
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imesitisha kutoa huduma za matibabu kwa mkopo kwa taasisi nne nchini.
Taasisi hizo ni Shirika la Umeme Tanzania (Taneseco), Shirika la Bima la Taifa (NIC), Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tangu kupandishwa kwa gharama za huduma kwa wagonjwa wa rufani ambapo kwa sasa wanalazimika kulipia kitanda Sh 5,000 pamoja na Sh 2,000 ya chakula kwa siku.
Kwa...
11 years ago
Habarileo24 Jan
Shekhe akwama kwenda kutibiwa India
SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Ulimwengu: Ni aibu kwenda kutibiwa nje
MCHAMBUZI wa masuala ya siasa na kijamii, Jenerali Ulimwengu, amesema ni kitendo cha aibu kwa viongozi wa Bara Afrika kwenda kutibiwa nje ya nchi magonjwa madogo ambayo yangeweza kutibiwa katika...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mramba, Yona ruksa kwenda India kutibiwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona kwenda India kutibiwa maradhi, ambayo hawakuyataja mahakamani hapo.
11 years ago
Habarileo11 Mar
Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.
9 years ago
CCM BlogMICHANGO YA WASAMARIA WEMA YAFANIKISHA JOYCE WA MBEYA KUWASILI MUHIMBILI KUTIBIWA
Tunapenda kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zMJxnqMJKq0N439G9Jp-hRSixV9jKRjex9HJINT6flXFDXrh1QpmSNaTIxXOo0BrzOpGfQytgbkTMdhyA9Wl7q3-5jCUy*io/mguu.jpg)
MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vp13-KTbEwg/VJ1Xa7NGjgI/AAAAAAAG55E/OMxlomwBPZQ/s72-c/04.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO KWENDA KUTIBIWA INDIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vp13-KTbEwg/VJ1Xa7NGjgI/AAAAAAAG55E/OMxlomwBPZQ/s1600/04.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WxaQK24V3Fc/VJ1XLNusR3I/AAAAAAAG540/U-KAebIquYU/s1600/03.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZY1-04HTbqY/Ux8tsvSFNZI/AAAAAAAFS7Y/4GxUalj87EM/s72-c/1+(1).jpg)
Mahakama yawarusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani,Basil Mramba na Daniel Yona
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZY1-04HTbqY/Ux8tsvSFNZI/AAAAAAAFS7Y/4GxUalj87EM/s1600/1+(1).jpg)
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Jaji John Utamwa baada ya washtakiwa hao kuwasilisha maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa...