Kampuni kuondoa daladala korofi
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imesema kuwa tatizo la madereva wa usafiri wa daladala kujiamulia kutosafirisha abiria kwa muda wanaotaka wao litakwisha pindi usafirishaji huo utakapoanza kutekelezwa na mabasi ya kampuni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 May
‘Wamiliki wa daladala imarisheni kampuni’
WAMILIKI wa mabasi ya abiria jijini Dar es Salaam (Daladala) wametakiwa kuimarisha kampuni ya Mzizima Dar es Salaam Express, ili kuwawezesha kuwa na sifa na nguvu ya kushiriki mchakato wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-oGTibmeGhdI/XsgUAbx0gTI/AAAAAAALrVI/-P4Bx5VNKU4ET4jkoee1Cwtr9zCVaNGgwCLcBGAsYHQ/s72-c/YUSUPH%2B2.jpg)
KAMPUNI YA F.M ABRI YATOA NDOO KWA UMOJA WA DALADALA MANISPAA YA IRINGA
NA DENIS MLOWE,IRINGA
KAMPUNI ya F.M Abri ya mkoani Iringa inayojishughulisha na sekta ya usafiri wa mizigo na vituo vya mafuta imekabidhi ndoo maalum za kunawia mikono 30 na sabuni za kutakasia mikono zaidi ya 100 kwa chama cha madereva daladala manispaa ya Iringa ajili ya kupambana na ugonjwa wa corona.
Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya mkurugenzi wa FM Abri, Arifu Abri mwakilishi wa kampuni hiyo, Yusuph Majaliwa alisema lengo la kampuni hiyo ni kuiunga mkono serikali katika mapambano...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LxPKed2vox8/Xk021vO4-cI/AAAAAAABDLU/sLHiM6oYqdc0-MjuqrW2lqzbRTfXrC5iACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Kampuni ya Green Miles yatakiwa kuondoa vifaa vyake Kitalu cha Lake Natron.
![](https://1.bp.blogspot.com/-LxPKed2vox8/Xk021vO4-cI/AAAAAAABDLU/sLHiM6oYqdc0-MjuqrW2lqzbRTfXrC5iACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Mamlaka ya usimamizi wanyamapori nchini(TAWA) imetaka Kampuni ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha uwindaji cha Lake Natron (East),kuondoa vifaa vyake.
Kampuni hiyo iliondolewa na Serikali tangu, January 22 lakini hadi Jana watendaji wa Kampuni hiyo walikuwa hawajajitokeza kuondoa vifaa vyao kwenye kambi inayolindwa na Askari wa TAWA,polisi na askari mgambo .
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Hamis Kigwangalla Agost 7 mwaka jana alitangaza uamuzi wa Serikali...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Wataka Msajili awezeshwe kufuta vyama korofi
BAADHI ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza Msajili wa Vyama vya Siasa nchini apewe nguvu na Katiba awe na mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa kinachokiuka masharti ya kusajiliwa, ikiwemo kuleta uchochezi kama njia ya kufikia malengo yake ya kisiasa.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Watoto waliokulia familia korofi wana uwezo wa kukabili matatizo ya kimaisha
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Rp3uz9B8j7A/VUskEjDV8DI/AAAAAAAHV18/BJ-VQYHbA0A/s72-c/1.1774256.jpg)
MJASIRIAMALI UNAHITAJI KAMPUNI, FAHAMU KITU KIITWACHO “ MIKATABA KABLA YA KAMPUNI”.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Rp3uz9B8j7A/VUskEjDV8DI/AAAAAAAHV18/BJ-VQYHbA0A/s320/1.1774256.jpg)
Ni jambo la kutia faraja kuwa vijana wengi wamekuwa wajasiriamali na wanafanya biashara mbambali katika maeneo mbalimbali ya nchi. Wengine biashara ni nzuri na wengine wanalalamika biashara sio nzuri. Kila mtu ana muono wake kuhusu mwenendo wa biashara zake.
Pamoja na hayo ushahidi wa sayansi ya biashara unathibitisha kuwa kwa asilimia zaidi ya 70 suala la biashara kuwa mbaya au nzuri hutokana na mtu mwenyewe...
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s72-c/images.jpg)
makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cgpWfTY9q1c/VJfjbj8TE7I/AAAAAAAG4-4/tL6DQzeT-r4/s1600/images.jpg)
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni.
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...
10 years ago
Dewji Blog17 Jan
Kampuni ya kielectroniki ya SAMSUNG yamtangaza Vanessa Mdee kama balozi wa kampuni hiyo
Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali ya juu, Samsung wanayo furaha kumtangaza balozi wao mpya mwanamziki nyota, na mtangazaji wa Televisheni na radio Vanessa Mdee.
Katika mkutano na wanahabari ulilofanyika hoteli, ya Hyatt Regency, iliyoko mjini Dar es Salaam iliohusisha kusaini kwa mkataba baina ya Vannesa Mdee na uongozi wa kampuni...