KAMPUNI YA BME IMEWEKEZA ZAIDI YA MILIONI 40 KWENYE MUZIKI WA AMINI
Hivi karibuni msanii wa Bongo Flava, Amini aliagwa rasmi na nyumba ya kukuza vipaji ya T.H.T ambako alikuwepo kwa zaidi ya miaka 10, kuanzia kufundishwa muziki hadi akaanza kutengeza pesa kupitia ngoma na album alizowahi kuachia.
Amini aliagwa T.H.T baada ya kupata mkataba wa kibiashara na kampuni ya BME,Clouds Fm imepiga stori na mkurugenzi wa kampuni hiyo amefunguka malengo ya BME kwa Amini na na kwamba kampuni hiyo imewekeza zaidi ya mill.40 kwenye muziki wa msanii huyo.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM11 Nov
Amini alivyoagwa jana THT na sasa yupo chini ya kampuni nyingine inaitwa BME
Amini akiwa na mkewe na Mwinjaku.Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akizungumza na waandishi wa habari wakati wa sherehe ya kumuaga msanii Amin Mwinyimkuu THT na sasa amepata kmapuni nyingine iitwayo BME.Msanii Linnah akizungumza kwenye sherehe hiyo ya kumuaga Amin. Linnah kwenye red carpet.Amin kwenye red carpet.Meninah anye alikuwepo.Mwasiti akizungumza kwenye sherehe hiyo.Amini akiwa na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba.
9 years ago
Bongo508 Oct
Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)
11 years ago
Michuzi25 May
MH. MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI 80 JIMBONI KWAKE
11 years ago
Dewji Blog25 May
Mh. Mohammed G.Dewji (MO) amwaga msaada wa zaidi ya shilingi Milioni 127 kwenye Taasisi za Dini zaidi 80 Jimboni kwake
Mbunge wa Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na viongozi wa Mahakama ya Qadhi wakati alipotembelea Mahakama hiyo kuona namna inavyohudumia waumini wa Dini ya Kiislamu katika kutatua migogoro ya ndoa.
Sheikh wa Mahakama ya Qadhi, Ramadhani Kaoja akimweleza Mheshimiwa Mbunge shughuli za Mahakama hiyo pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili, Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida Mjini , Hamis Nguli, wa pili kulia ni Katibu wa Mahakama ya Qadhi, Alhajj B. Mlau.
Mbunge...
11 years ago
GPLMOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI YA 80 JIMBONI KWAKE
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Tanzania ya Magufuli, imewekeza kwenye nini?
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepatikana.
Mwandishi Wetu
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA QWIHAYA YATOA ZAIDI YA MILIONI 21 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO PAWAGA
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa anaongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada kutoka katika Kampuni ya QWIHAYA ya wilaya Mufindi kwa ajili ya wahanga wa mafuriko yaliyotokea katika kitongoji cha Mbingama mkoani Iringa.
Huu ndio msaada wa Mirunda ambayo itaenda kusaidia katika ujenzi wa makazi mapya kwa wananchi wa kitongoji cha Mbingama
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
KAMPUNI ya QWIHAYA GENERAL CO LTD ya mkoani Iringa imetoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 21 kwa...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA QWIHAYA YASAIDIA VIFAA VYA ZAIDI YA MILIONI 10, DC MUFINDI AISHUKURU
Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri...
9 years ago
Bongo508 Sep
Walter Chilambo adai hajawahi kutumia milioni 50 za BSS kwenye muziki wake