Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA TTCL YAWASAIDIA WATOTO VIFAA VYA MASOMO KITUO CHA AWALI LUKEMA VINGUNGUTI


Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services baadhi ya vibao maalumu kwa ajili ya kujifunzia wanafunzi wa darasa la awali.Wanafunzi wa darasa la awali wa kituo cha LUKEMA kinachomilikiwa na Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services kilichopo jijini Dar es Salaam wakifurahia madaftari waliyopewa na TTCL...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KISARAWE YAPATA MATUNDA YA KALAMU EDUCATION FOUNDATION KWA KUZINDUA KITUO CHA MASOMO YA WATOTO CHA AWALI KATIKA MFUNGO WA RAMADHAN.

 Sheikh Suleiman Amran Kilemile Alipokuwa akifungua Kituo Cha Jamaat Islamiyyah Madrassa and Nursery School Cha Kisarawe. Sheikh Kilemile aliwahusia wazazi kuwasomesha watoto wao Masomo yote kwani husaidia kupata Viongozi Waadilifu na wenye Huruma katika Maendeleo ya Jamii.Sehemu ya Majengo ya Kituo Kipya cha Masomo ya Awali Cha Jamaat Islamiyya Kisarawe Pwani.  Sheikh Suleiman Kilemile akiwa na Mbunge wa Kisarawe Mh. Suleiman Jaffu pamoja na watoto wa Wilaya hiyo wakionyesha Matumaini Mapya...

 

9 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL Yakisaidia Vifaa Tiba Kituo cha Afya Buguruni Dar

Meneja Uhusiano wa kampuni ya TTCL, Nicodemus Thomas (wa pili kulia) akimkabidhi sehemu ya vifaa tiba Ofisa Muuguzi Mkuu wa Kituo cha Afya cha Buguruni, Alvera Mtembelea (wa tatu kushoto) vilivyotolewa na kampuni ya TTCL leo kwa Kituo cha Afya Buguruni cha jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga akishuhudia zoezi hilo.Meneja Uhusiano wa kampuni ya TTCL, Nicodemus Thomas (kulia) akimkabidhi moja ya mashine ikiwa ni sehemu ya vifaa tiba Ofisa Muuguzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Kampuni ya TTCL yatoa msaada kituo cha watoto yatima Chamazi

Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya Pasaka. Baadhi ya watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund' wakibeba sehemu ya msaada uliyotolewa kwao na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya Siku Kuu ya PasakaMeneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la 'Yatima Group Trust Fund'. Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada kwa kwa mmoja wa walezi wa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WANAWAKE TANESCO WAKABIDHI VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA WATOTO YATIMA

Charles James, Michuzi TV

KATIKA kusherehekea siku ya wanawake duniani, Wafanyakazi Wala ya kazi wanawake wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametembelea kituo cha watoto yatima cha Rahman kilichopo jijini Dodoma na kuwapa misaada mbalimbali.

Wafanyakazi hao kwa umoja wao wamepeleka Mabati, Mbao, Mifuko ya Saruji, Misumari na Milango kwa ajili ya kumalizia baadhi ya mabweni lakini pia walibeba vyakula kama Mchele, Mafuta ya kupikia, Maji na Juisi.

Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA(TAWLA) WAFUTURU NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA MWANA VINGUNGUTI JIJINI DAR.

 Watoto yatima wa kituo cha Mwana kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam wakiwa wamekaa katika kituo hicho mara baada ya Chama Cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA),kuwatembelea na kufuturu pamoja nao katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.Wanachama wa  Chama Cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) wakichukua Futari kwaajili ya kuwagawia watoto wa kituo cha Mwana kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam jana. Mfanyakazi wa Wanachama wa Chama Cha Wanawake wanasheria Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Ally CHangwila akimkabidhi msaada wa Madaftari na vyakula mbalimbali Samson Ali (12) ambaye ni mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu ambao hivi sasa wanalelewa katika Kituo cha Child In The Sun kilichopo Manzese Dar es Salaam kituo hicho kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki.watoto hao wanapatikana kwa kukusanywa mitaani. Mwalimu wa Kituo cha Kulea watoto waishio katika mazingira Magumu cha Child In The Sun kilichopo...

 

10 years ago

GPL

MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana. DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Kampuni ya TTCL yaanzisha kituo cha interneti 'IP Pop'

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia) akizungumza na wanahabari mara baada ya mkutano wa wadau wa mawasiliano Afrika ikiwemo kampuni ya TTCL. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia) akizungumza na wanahabari mara baada ya mkutano wa wadau wa mawasiliano Afrika ikiwemo kampuni ya TTCL.Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.  Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kampuni ya TTCL yaanzisha kituo cha interneti 'IP Pop'...

 

10 years ago

Michuzi

NIC YATOA MSAADA WA VIFAA VYA ELIMU KWA WATOTO WENYE UONI HAFIFU KITUO CHA ALBINO BUHANGIJA SHINYANGA

Shirika la Bima la taifa leo limetoa msaada wa vifaa 34 vya kujifunzia darasani kwa watoto wenye uoni hafifu katika kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi(Albino),wasioona na wasiosikia cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga. Vifaa vilivyotolewa ni darubini kiona mbali(Telescope Monocular),Kikuza Maandishi cha Kusimamisha(Stand Magnifier) na Kikuza Maandishi cha Kuweka juu ya Maandishi( Dome Magnifier)-Picha zote na Kadama Malunde-ShinyangaNdani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa Shule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani