Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni zafungiwa kwa rushwa

BAADHI ya kampuni za kigeni za uchapishaji nchini zimefungiwa na Benki ya Dunia kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kujihusisha na vitendo vya rushwa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kampuni za Canada zakithiri kwa rushwa

NCHI ya Canada imetajwa kuwa moja ya nchi yenye idadi kubwa ya kampuni zilizowekewa vikwazo na Benki ya Dunia, kutokana na kujihusisha na vitendo vya rushwa.

 

11 years ago

Habarileo

Supermarket 39 zafungiwa

Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti SilloMAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imefungia maduka makubwa (Supermarket) 39, yakidaiwa kuuza vyakula hatarishi kwa afya na uhai wa binadamu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Timu mbili Ligi ya Malawi zafungiwa

Vilabu viwili vya soka nchini Malawi vya Mighty Wanderers na Silver Strikers vimepigwa faini kufuatia ghasia za mashabiki wao

 

5 years ago

BBCSwahili

Spencon: Jinsi tuhuma za rushwa, vitisho na magenge ya uhalifu zilivyoandama mwisho wa kampuni kubwa ya ujenzi Afrika

Uchunguzi wa Makala ya Africa Eye unabainisha miezi ya mwisho ya 'vurugu' ya moja ya yaliyokuwa makampuni bora ya ujenzi barani.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA SWALA YAGAWA UMILIKI WA ASILIMIA 25 ZA RIBA YA LESENI KWA KAMPUNI YA TATA PETRODYNE LIMITED

Kampuni ya mafuta na gesi ya Swala (Tanzania) Plc ("swala" au "Kampuni") inayo furaha kutangaza kwamba imefikia makubaliano ya kugawana umiliki na Kampuni ya Tata Petrodyne Limited ("TPL"), kampuni ambayo ni sehemu ya Kampuni ya Kimataifa ya Tata sons Limited, ambapo TPL itakuwa ikifanya shughuli zake kwenye maeneo ya leseni ya Pangani na Kilosa-Kilombero nchini Tanzania. Hii itaiwezesha Kampuni ya swala kubaki kwenye maeneo yake ya leseni na ili kupata fedha kwa ajili ya shughuli za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Asas Dairies Ltd kwa mwaka wa tatu mfululizo yashikilia tuzo ya ubora, yazibwaga kampuni kongwe

Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia)  akiwa na   wafanyakazi  wenzake baada ya  kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika  bidhaa za Asas Dairies Ltd. Hii  ndio kampuni  iliyoweza  kushinda tuzo ya  ubora.

Medali  ,vyeti na  tuzo  ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena  mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.

blogger-image--1075361007

Vyeti na medali tatu ambazo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena.

Baadhi ya  bidhaa za kampuni ya Asas...

 

11 years ago

Michuzi

Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii

MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS DAIRIES LTD KWA MWAKA WA TATU MFULULIZO YASHIKILIA TUZO YA UBORA ,YAZIBWAGA KAMPUNI KONGWE TENA WAZIRI KAMANI APONGEZA

Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia)  akiwa na   wafanyakazi  wenzake baada ya  kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika  bidhaa za Asas Dairies Ltd 
Hii  ndio kampuni  iliyoweza  kushinda tuzo ya  uboraMedali  ,vyeti na  tuzo  ya ushindi  ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena  mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani