Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KANGE LUGOLA ALIVYOTINGA BUNGENI NA BANGO

Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. Mbunge…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KANGI LUGOLA AWASHA MOTO BUNGENI

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amewasha moto bungeni akifunguka kuwa atawaambia wananchi wake wasiipigie kura CCM pamoja na yeye mwenyewe kama maji hayatapatikana jimboni mwake wakati akichangia katika majiadiliano ya hoja za kamati bungeni leo. Pia Lugola amehoji kwa nini nguvu zinazotumika kuwapiga watu kama akina Profesa Lipumba zisitumike kupambana na wawekezaji wanaokiuka masharti ya uwekezaji na kuwanyanyasa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lugola atinga bungeni begi la bidhaa za nje

Mjadala wa Bajeti ya Serikali, ambao umetawaliwa na suala la kushuka kwa thamani ya shilingi, jana ulichukua sura ya pekee baada ya mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola kuingia na begi lililojaa bidhaa mbalimbali kutoka nje ambazo alizitumia kuthibitisha matumizi yasiyostahili ya fedha za kigeni.

 

11 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO, MBUNGE ATINGA NA BANGO KUWANIA NAFASI, AAMRIWA ASAULE

 Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo Juni 11, 2014.  Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola akivua bango alilokuwa ameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

GPL

KANGI LUGOLA AOMBA KUVAA KININJA ILI ACHANGIE RIPOTI YA TEGETA ESCROW BUNGENI

MBUNGE wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba kuchangia huku akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo. Mbali na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi mkono vitendo viovu japo alikataliwa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Tanga kutumia stendi ya Kange

WAKAZI wa Jiji la Tanga wametakiwa kukitumia kituo kipya cha mabasi yaendayo mikoani na wilayani kilichopo Kange ingawa bado kuna baadhi ya changamoto za kukamika kwake. Rai hiyo ilitolewa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Gharama Kituo cha Mabasi cha Kange kufanyiwa uchunguzi

>Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah amesema uchunguzi wa gharama zilizotumika kujenga kituo kipya cha mabasi cha Kange jijini Tanga, utakamilika kwa siku 14 kuanzia sasa.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola amfyatua JK

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amemshambulia Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Rais Jakaya Kikwete, kuwa chama kitafia mikononi mwake. Lugola, alisema kitendo cha Rais Kikwete kukataa kuwaondoa madarakani mawaziri...

 

10 years ago

Mwananchi

Bango la daladala lamkuna Lowassa

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa alishangaza wapinzani wake wakati alipofanya ziara za kushtukiza jijini Dar es Salaam, ikiwa ni pamoja na kupanda daladala, lakini wananchi mkoani Singida walimsaidia kutoa jibu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani