Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Tanga kutumia stendi ya Kange

WAKAZI wa Jiji la Tanga wametakiwa kukitumia kituo kipya cha mabasi yaendayo mikoani na wilayani kilichopo Kange ingawa bado kuna baadhi ya changamoto za kukamika kwake. Rai hiyo ilitolewa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO



NA DENIS MLOWE,IRINGA

STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.

Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...

 

5 years ago

Michuzi

TANGA UWASA KUTUMIA FEDHA ZA NDANI KUENDELEZA HUDUMA YA MAJI MARUNGU

Mkuu wa Kitengo cha Ufundi Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini
Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Rashid Shabani akizungumza wakati wa
mkutano huo

Afisa huduma kwa Wateja Tanga Uwasa ambaye kwa sasa ni Kaimu Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa Wateja Rogers Machaku akizungumza wakati wa mkutano huo kushoto anayemfuatilia kwa umakini ni Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala
Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo

Meza kuu...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AWAKUNA WAKAZI WA TANGA UWANJA WA MKWAKWANI LEO




Mwimbaji mahiri wa nyimbo za kiroho a.k.a Injili na anaetamba na wimbo mpya wa Facebook,Rose Muhando akiwa sambamba na skwadi lake zima wakilishambulia jukwaa vilivyo jioni ya leo ndani ya uwanja wa Mkwakwani wakati wa muendelezo wa tamasha la Krisimasi lililofanyika leo Mkoani Tanga. Tamasha hilo ndio kwa mara ya kwanza linafanyika mkoani humo,limezindundiliwa jijini Dar siku ya Krisimasi ndani ya uwanja wa Taifa na...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE KWA WAKAZI WA TANGA

Meneja wa Mafao ya Matibabu( SHIB) Dk. Ali Mtulia akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali juu ya lengo la kambi ya upimaji Afya kwa wakazi wa Tanga ambayo inaendelea Mkoani Tanga kwenye Viwanja vya Tangamano.Dk. Ali Mtulia (wa tatu kushoto ) na Dk. Limu (kushoto) wakipima uzito na Urefu wa Mkazi wa Tanga ili kuweza kujua na kumshauri juu ya uwiano wa Urefu na Uzito wake.Daktari bingwa wa Siku nyingi Dk. Ali Mzige akimshauri mkazi wa Tanga juu ya afya yake na lishe bora.

BOFYA...

 

11 years ago

Bongo5

Kili Music Tour 2014: Jinsi wakazi wa Tanga walivyozungusha Kikwetu (Picha)

Mkoa wa Tanga umefunga matamasha ya Kili Music Tour yaliyokuwa yakizunguka mikoa mbalimbali nchini kwa show iliyojaza umati mkubwa wa mshabiki uwanja wa Mkwakwani. Mtangazaji wa EATV Abdallah Hamis Ambuaa “Dulla” akiendesha shindano kwa kina dada wa Tanga waliojitokeza uwanjani kushuhudia Kili Music Tour Tamasha hilo linalodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager lilipambwa na […]

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE WAKUBALI MAKAMUZI YA TAMASHA LA FIESTA 2014.

Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga,huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa.
Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa.Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta.waliojoitokeza kwenye tamasha la...

 

11 years ago

GPL

KANGE LUGOLA ALIVYOTINGA BUNGENI NA BANGO

Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. Mbunge…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASHUKURU WAKAZI WA TANGA KWA KUFANYA VYEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

 Wananchi wa Tanga mjini wakimpa mkono wa kumuga Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kumaliza mkutano wake wa kuwashukuru Watanzania kwa kuichagua CCM na kuwashukuru kwa imani yao kwa kutambua chama kinaweza kuongoza.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM wakati wa kuwashukuru wananchi hao kwa kuichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwezi Desemba 2014.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani