Kardashian: Nimepoteza kilo 7 baada ya kujifungua
CHICAGO, MAREKANI
NI siku 10 tangu Kim Kardashian apate mtoto wa pili, lakini mrembo huyo amesema kwa sasa amepungua uzito wa kilo 7 tangu alipojifungua.
Mrembo huyo wakati ana ujauzito wa mtoto wake, Saint alikuwa na uzito wa kilo 86, lakini baada ya kujifungua amejikuta akipoteza kilo 7 na anadai bado ataendelea kupunguza ili awe kama wakati anaolewa na mume wake, Kanye West.
“Wakati ninaolewa na Kanye West nilikuwa na uzito wa kilo 53, lakini nilipopata ujauzito wa Saint kilo zilizidi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM29 Jan
KARDASHIAN AAJIRI MTAALAM AMPUNGUZE KILO SABA ALIZOONGEZEKA
Mtaalam huyo ameajiriwa ili amfundishe jinsi ya kupika chakula bora zaidi kwa ajili ya familia hiyo akiwemo mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 19 aitwaye North.

10 years ago
GPL
KARDASHIAN AAJIRI MTAALAM AMPUNGUZE KILO SABA ALIZOONGEZEKA
10 years ago
Bongo530 Sep
Kim Kardashian anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili siku ya Christmas
10 years ago
Bongo501 Oct
Kim Kardashian ataja jina alilomchagulia mtoto anayetarajia kujifungua, japo hana uhakika kama Kanye atalipenda
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Ugonjwa wa akili baada ya kujifungua
“HALI mbaya zaidi inayoweza kutokea baada ya mjamzito kujifungua ni ugonjwa wa akili, ijapokuwa huo si ugonjwa wa kawaida sana,” linaeleza Jarida la Brazilian Journal of Medical. Mgonjwa anaweza kuona,...
10 years ago
Vijimambo
MTOTO ATUPWA CHOO BAADA YA KUJIFUNGUA

Tukio hili la kusikitisha limetokea Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja alijifungua mtoto na kisha kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo alizaliwa nyumbani sio hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama huyo alimdumbukiza kichanga hicho mwenye jinsia ya Kiume chooni.
Mama huyo alietambulika kwa jina la Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni kuficha...
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Aunt Ezekiel Kuja na Hii Baada ya Kujifungua
Baada ya hivi karibuni kupata jina jipya la mama cookie, staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amesema amejipanga kurudi kwa kishindo kwenye bongo movies baada ya lengo lake hilo kutimia.
Akizungumza na gazeti la Nipashe Aunt amabaye amejifungua mwezi uluopita alisema amejipanga kutoa filamu amabayo itahusu maswala ya wazazi ili kueleimisha wanawake wenye tabia ya kutupu watoto wachanga mara baada ya kujifungua.
Aidha amesema huchukia wanaume wenye kuwapa mimba wanawake kisha...
10 years ago
CloudsFM27 Apr
Baada ya Frolah Mvungi kujifungua,ajipanga kuachia filamu mbili
Baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Afrika,mwigizaji wa filamu za Kibongo,Florah Mvungi amejipanga kuachia filamu mbili kwa mpigo.
Mume wa msanii huyo,msanii H.Baba akizungumza kwa niaba ya mkewe alisema kuwa kwa sasa yeye na mkewe ni muda wao wa kufanya kazi kwani wana mpango wa kuachia filamu mbili mpya kwa mpigo ambazo hajazitaja jina.
‘Unajua tulipanga tuzae watoto wawili tunashukuru mipango yetu imetimia sasa ni muda wa kufanya kazi,nitaachia ngoma yangu mpya hivi karibuni na...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio)
Hii stori ya ‘Hekaheka‘ ilianza kusikika jana December 22 2015 ambapo mwanamke alikuwa na malalamiko ya kukimbiwa na mpenzi wake baada ya kujifungua Dar es Salaam.. kibaya zaidi ni kwamba mwanamke huyo hakuwa anafahamiana na ndugu yoyote wa mwanaume huyo. Kikubwa kwa sasa mwanamke huyo aliongea kwamba anahitaji msaada wa vitu vingi ikiwemo makazi ya […]
The post Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio) appeared first on...