MTOTO ATUPWA CHOO BAADA YA KUJIFUNGUA
![](http://2.bp.blogspot.com/-BSqXY9fQjZk/VF8Y0VA06HI/AAAAAAAAEN4/7co6sr18hP8/s72-c/mtoto%2Bkatupwa%2Bchooni.jpg)
kuradhi kwa picha hii hivi ndivyo wasamalia wema waliowenza kumpoa mtoto huyo kwenye shimo la choo.
Tukio hili la kusikitisha limetokea Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja alijifungua mtoto na kisha kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo alizaliwa nyumbani sio hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama huyo alimdumbukiza kichanga hicho mwenye jinsia ya Kiume chooni.
Mama huyo alietambulika kwa jina la Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni kuficha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Ugonjwa wa akili baada ya kujifungua
“HALI mbaya zaidi inayoweza kutokea baada ya mjamzito kujifungua ni ugonjwa wa akili, ijapokuwa huo si ugonjwa wa kawaida sana,” linaeleza Jarida la Brazilian Journal of Medical. Mgonjwa anaweza kuona,...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Atupwa chooni baada ya kuzaliwa
WATOTO watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mtoto wa siku moja kutupwa chooni na mama yake, Mwacheni Amani (18). Mwacheni mkazi wa Idweli wilayani Rungwe, Mbeya alimtupa mtoto...
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Kardashian: Nimepoteza kilo 7 baada ya kujifungua
CHICAGO, MAREKANI
NI siku 10 tangu Kim Kardashian apate mtoto wa pili, lakini mrembo huyo amesema kwa sasa amepungua uzito wa kilo 7 tangu alipojifungua.
Mrembo huyo wakati ana ujauzito wa mtoto wake, Saint alikuwa na uzito wa kilo 86, lakini baada ya kujifungua amejikuta akipoteza kilo 7 na anadai bado ataendelea kupunguza ili awe kama wakati anaolewa na mume wake, Kanye West.
“Wakati ninaolewa na Kanye West nilikuwa na uzito wa kilo 53, lakini nilipopata ujauzito wa Saint kilo zilizidi...
10 years ago
Habarileo07 Jan
Aliyelawiti mtoto atupwa jela miaka 30
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa Madibira wilayani hapa kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka mitano.
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Aunt Ezekiel Kuja na Hii Baada ya Kujifungua
Baada ya hivi karibuni kupata jina jipya la mama cookie, staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amesema amejipanga kurudi kwa kishindo kwenye bongo movies baada ya lengo lake hilo kutimia.
Akizungumza na gazeti la Nipashe Aunt amabaye amejifungua mwezi uluopita alisema amejipanga kutoa filamu amabayo itahusu maswala ya wazazi ili kueleimisha wanawake wenye tabia ya kutupu watoto wachanga mara baada ya kujifungua.
Aidha amesema huchukia wanaume wenye kuwapa mimba wanawake kisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFU*ES92RBUZvfBm1zBOOaq6FMVJQPOu5UEpu*20fbhGCIOv6RWS09Wd61DpgvpWxc9XpFgyDspwD5GI7CShwzLu/kuambiana.jpg?width=650)
KUAMBIANA ALIMTABIRIA RECHO KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME
10 years ago
Habarileo27 Dec
Aliyelawiti mtoto wa miaka 6 atupwa jela maisha
MFANYAKAZI wa nyumbani, Hatibu Adamu (20) amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kike wa miaka sita.
11 years ago
Habarileo20 Mar
Mwanamke aliyemtesa mtoto atupwa jela miaka 3
MWANAMKE mkazi wa Kata ya Iyela jijini hapa, Mwanahawa Nassoro (32) amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto. Mwanamke huyo alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mbeya mjini jana, akikabiliwa na shitaka la kumtesa mtoto, John Paul (3) ambaye ni mtoto wa kaka yake.
10 years ago
Mwananchi10 Jul
Mambo yanayochangia kujifungua mtoto mwenye kasoro kimaumbile