Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUAMBIANA ALIMTABIRIA RECHO KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

NaErick Evarist ALIYEKUWA dairekta na muigizaji mkali Bongo, marehemu Adam Kuambiana alimtabiria staa wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ kuwa atajifungua mtoto wa kiume. Staa wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Recho ambaye ni wa leo wa kesho kujifungua, alikutana na marehemu maeneo ya Sinza jijini Dar na kumwambia atajifungua mtoto wa kiume na angependa aitwe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SKENDO WODINI: MAMA ADAI KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME, APEWA WA KIKE TENA MAITI

Na Mwandishi Wetu, Moro
SKENDO mpya imeikumba Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kufuatia mwanamke mmoja, Rukia Fikiri (pichani) kudai kujifungua mtoto wa kiume kisha baadaye kukabidhiwa mtoto wa kike akiwa amefariki dunia, Uwazi linatiririka.Tukio hilo la kushangaza lilijiri Machi 25, mwaka huu katika wodi ya wazazi ya hospitali hiyo. Rukia Fikiri(kulia) akiwa na ndugu zake wakiwa wamebeba maiti ya mtoto wanaodai...

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO ATUPWA CHOO BAADA YA KUJIFUNGUA

kuradhi kwa picha hii hivi ndivyo wasamalia wema waliowenza kumpoa mtoto huyo kwenye shimo la choo.
Tukio hili la kusikitisha limetokea Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja alijifungua mtoto na kisha kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo alizaliwa nyumbani sio hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama huyo alimdumbukiza kichanga hicho mwenye jinsia ya Kiume chooni.

Mama huyo alietambulika kwa jina la Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni kuficha...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo yanayochangia kujifungua mtoto mwenye kasoro kimaumbile

>Kwenye mipango ya afya, moja ya kanuni ni kuhakikisha kila mtoto anayezaliwa anakuwa na hali bora kiafya, ikijumuisha akili na mwili.Mazingira hayo yamekuwa yakiwafanya wanasayansi kuendesha tafiti mbalimbali ili kukabili tatizo la watoto kuzaliwa wakiwa na ama na ukosefu wa viungo au athari za kiakili.

 

9 years ago

Bongo5

Kim Kardashian anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili siku ya Christmas

Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian ambaye ni mjamzito wanatarajia kumpokea mdogo wake na North siku ya Christmas, ambapo Kim ndio anatarajia kujifungua. Kwa mujibu wa TMZ, Kim K anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili Dec. 25. Vyanzo vya karibu vimedia kuwa couple hiyo tayari ime ‘book’ Deluxe Maternity Suite kwenye hospitali ya Cedars-Sinai […]

 

10 years ago

Bongo5

Kelly Rowland ajifungua mtoto wa kiume

Kelly Rowland na mume wake ambaye pia ni meneja wake, Tim Witherspoon wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina, Titan Jewell. Mtoto huyo alizaliwa jana. Muimbaji huyo wa zamani wa Destiny’s Child alitangaza mwezi June kuwa alikuwa anatarajia kupata mtoto, ikiwa ni mwezi mmoja tu baada ya kufunga ndoa huko Costa Rica.

 

11 years ago

GPL

SAFINA WA MIZENGWE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

STAA mkongwe wa vichekesho kutoka kundi la Kashikash Bongo linalorusha michezo yake kupitia Kipindi cha Mizengwe runinga ya ITV, Jessica Kindole ‘Safina’ amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Lugalo, jijini Dar es Salaam. Jessica Kindole ‘Safina’ akiwa hospitali kabla ya kujifungua.

 

11 years ago

GPL

DINA MARIOS AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha Leo Tena kinachoruka kupitia Clouds FM, Dina Marios, amejifungua mtoto wa kiume leo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!

Mwigizaji wa filamu  Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki  H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa  yao kwa mwaka jana.

H baba amabe ndio mumeo  amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.

Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.

“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...

 

10 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO,SIWEMA WAPATA MTOTO WA KIUME

STAA wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego na mpenzi wake aitwaye Siwema wamepata mtoto wa kiune hivi karibuni.

Kupitia mtandao wa Instagram Nay aliandika hivi...Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama yangu mzazi,,, tukiwa tunakata cake napigiwa simu nimepata mtoto wakiume... yani kazaliwa siku moja na bibi yake,,! Hao apo wamezaliwa leo... Asante Mungu..

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani