Kassim awataka wasanii kuipenda nchi yao
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Kassim Mganga, amesema hoja ya wasanii kwenda nje ya nchi kufanya kazi zao kwa kigezo cha kutafuta mazingira tofauti ni hoja dhaifu, kwa sababu Tanzania kuna mazingira mazuri ambayo huwezi kuyapata popote pale.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kassim alisema Waafrika hivi sasa wamebadilika wanataka kuona mazingira yao yakitangazwa kama vile visiwa, milima na pwani mbalimbali ndiyo maana video ya Nasema nawe wimbo wa Diamond...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...
10 years ago
Michuzi
WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

10 years ago
Bongo510 Mar
Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili
9 years ago
Michuzi
10 years ago
Mtanzania05 Nov
…Awataka kina Warioba waache biashara yao

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU tatu baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kupigwa na watu waliodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amewaonya watu na vikundi vinavyoanza kufanya kampeni dhidi ya Katiba inayopendekezwa akisema muda wa kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria haujafika.
Mdahalo wa kujadili katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ulivunjika mwishoni mwa...
5 years ago
Michuzi
DC TANDAHIMBA AWATAKA WAKULIMA WALIOKOPA PEMBEJEO KULIPA MADENI YAO



Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba amewataka wakulima waliokopa pembejeo kulipa madeni hayo ili waweze kukopeshwa Tena katika msimu mpya
Hayo ameyasema wakati akijibu swali la mkazi wa Mikuyuni kata ya Nambahu Mkalavachi Mkalavachi kwenye muendelezo wa ziara...
10 years ago
Dewji Blog03 May
RC Singida awataka wafanyakazi kutekeleza majukumu yao katika kuzingatia mikataba
Baadhi ya wafanyakazi mkoani Singida, wakishiriki maandamano kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) mwaka huu iliyofanyika kwenye uwanja wa Namfua mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewaasa watumishi wa umma kuwa wasiwe wepesi wa kudai haki zao, bali kwanza watimize wajibu wao kikamilifu kwa madai kwamba haki na wajibu huambatana pamoja.
Dk.Kone ametoa usia huo wakati...
9 years ago
Bongo Movies21 Dec
Irene Uwoya Awataka Wasanii Kujiingiza Huku
MKALI wa filamu nchini, Irene Uwoya, amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha.

Irene Uwoya Katika Pozi
Irene amesema wasanii wengi wanategemea sanaa ili kuweza kuendesha maisha yao, lakini wanatakiwa kufanya mambo mengi ili kuweza kujiingizia kipato.
Akizungumza na MTANZANIA jana alisema yeye ana ofisi ambayo inajishughulisha na ushonaji wa nguo za aina zote ambayo inamsaidia kuingiza kipato na huwa...
10 years ago
Bongo516 Oct
Aslay awataka wasanii wachanga kuacha tamaa