Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATA YA KIMBIJI WAMPENDEKEZA DIWANI MUHIDINI BUNAYA SANYA KUGOMBEA TENA 2015

Wakazi wa Kata ya Kimbiji,Wilaya Temeke mkoani Dar-es-Salaam wamefunguka tena kwa kumpendekeza na kumtaka Diwani wao Mheshimiwa Muhidini Bunaya Sanya kugombea tena nafasi ya udiwani wa Kata hiyo ya Kimbiji hiliyopo wilaya Temeke. Wananchi wa wamemtaja Diwani wao huyo kijana Muhidini Bunaya Sanya kuwa ni mchapa kazi,mbunifu na mpenda maendeleo mwenye uchungu na Kimbiji. 
Wakazi wa Kata ya Kimbiji wanawaomba wananchi wote kusimama bega kwa bega kwa kumpa kura zote za maoni Bwana Muhidini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAKAZI WA KIMBIJI WAMPENDEKEZA DIWANI MUHIDINI BUNAYA SANYA KUGOMBEA TENA

Wakazi wa Kata ya Kimbiji,Wilaya Temeke mkoani Dar-es-Salaam wamefunguka tena kwa kumpendekeza na kumtaka Diwani wao Mheshimiwa Muhidini Bunaya Sanya kugombea tena nafasi ya udiwani wa Kata hiyo ya Kimbiji hiliyopo wilaya Temeke. Wananchi wa wamemtaja Diwani wao huyo kijana Muhidini Bunaya Sanya kuwa ni mchapa kazi,mbunifu na mpenda maendeleo mwenye uchungu na Kimbiji. Wakazi wa Kata ya Kimbiji wanawaomba wananchi wote kusimama bega kwa bega kwa kumpa kura zote za maoni Bwana Muhidini...

 

10 years ago

Michuzi

Diwani Muhidini Bunaya Sanya aka "JEMBE LA MPINI WACHUMA' wa Kata ya Kimbiji apeta

Wakazi wa Kata ya Kimbiji,Wilaya Temeke mkoani Dar-es-Salaam wamemchagua tena katikakura za maoni Diwani wao Mheshimiwa Muhidini Bunaya Sanya kugombea tena nafasi ya udiwani wa Kata hiyo ya Kimbiji hiliyopo wilaya Temeke.  Diwani wao huyo kijana Muhidini Bunaya Sanya (pichani) ameshinda kwa kura za maoni 1462 dhidi ya mpinzani wake ambaye alipata kura 68 tu,Kwa maana hii Kijana Muhidini Bunaya Sanyaamembwaga mpinzani wake kwa tofouti ya kura 1394 !Mheshimiwa Muhidini Bunaya Sanya amefanikiwa...

 

9 years ago

Vijimambo

CHAGUA MUHIDIN BUNAYA SANYA - Mgombe udiwani Kata Kimbiji,Dar-es-Salaam

WANA KIMBIJI TUMCHAGUE DIWANI MUHIDINI BUNAYA SANYA KWA MASLAHI YA WAKAZI WA KIMBIJI,Tuache ushabiki wa vyama tu we wa kweli kwa kumchagua kijana wetu huyu Muhidini Bunaya Sanya mwenye kiu ya maendeleo,aliyesimama kidete kila wakati na kuhakikisha sisi wakazi wa Kimbiji tunanufahika kwa elimu ya watoto wetu,uchimbaji wa visima,anatupigania kuhakikisha hatunyanyaswi na wavamizi wenye uchu wa kupora maeneo yetu wenyeji,Muhidini Bunaya Sanya mzawa mwenye uchungu na kimbiji pia ni jembe letu la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake

20141212_150512

Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa  serikali za  mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.

Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.  

Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani apinga ongezeko la mitaa, kata

DIWANI wa Misufini katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Ruvuma, Salum Mfamaji (CHADEMA), amesema kuongezwa kwa mitaa katika manispaa hiyo ni kuibebesha mzigo serikali na wananchi. Mfamaji alisema hayo wakati...

 

9 years ago

Habarileo

Kata ya Ipala Dodoma yapata Diwani

GEORGE Magawa jana alitangazwa kuwa Diwani wa Kata ya Ipala katika wilaya ya Dodoma Mjini baada ya kupita bila kupingwa kutokana na wagombea wawili wa nafasi hiyo kujitoa.

 

5 years ago

Michuzi

CCM Njombe wamnasa Diwani wa kata ya MjiMwema

Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe, kimefanikiwa kumnasa na kumkabidhi kadi ya uanachama aliyekuwa diwani wa kata ya Mjimwema mjini Njombe kupitia tiketi ya CHADEMA Abuu Mtamike huku kikikiri kuwa amewasumbua kwa muda mrefu kama alivyowasumbua aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa Fakii Lulandala. Katika kikao cha kumpokea diwani huyo viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na serikali wamesema bwana Mtamike sasa ameutambua ukweli juu ya kazi kubwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Diwani Kata ya Ubungo kizimbani kwa kujeruhi

Diwani wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake, Boniface Jacob leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kumpiga na kumjeruhi mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lisso.

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI AONGOZA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA KITUNTU SINGIDA


 Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa diwani mwenzao wa Kata ya Kituntu, Saidi Tumbwi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo hii.  Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akitoa salamu za rambirambi wakati wa mazishi hayo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Ally Mwanga akizungumza kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani