Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kati ya Obama na Zuma nani alikosa heshima ?

Je ukimpata mtu anazungumza kwa simu utamuamkua ama utamsubiri akamilishe mazungumzo yake kisha umpe salamu zako ?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ampongeza Cassper Nyovest kwa kuweka historia, itazame show iliyomletea heshima hiyo (Video)

casper the domeKudhihirisha kuwa rekodi aliyoiweka Cassper Nyovest, Jumamosi ya Oct.31,2015 hakikuwa kitu kidogo, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amempongeza rapper huyo kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome (sold-out show) ulioko jijini Johannesburg, wenye uwezo wa kuchukua watu 20,000, akiwa mwenyewe bila msaada wa msanii yeyote wa kimataifa. President […]

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA NCHI YA HESHIMA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA KATI YA AFRIKA NA UBELGIJI APRILI 2016

Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Taasisi ya Afrika Rise baada ya kikao kilichofanyaka Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji kuwasilisha taarifa za Tanzania kuteuliwa kuwa Nchi ya Heshima katika Kongamano la Biashara Kati ya Afrika na Ubelgiji litakalofanyika Aprili 2016. Makampuni zaidi ya 1000 kutoka Taanzania, Ubeligiji, Luxembourg, Afrika, Canada, Switzerland na Dubai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni nani msaliti wa CCM kati ya waasisi wa CCJ na Lowassa

MALUMBANO hayajengi. Fitna na siasa chafu dahari ni sumu katika utendaji ndani ya serikali na chama chochote kinachoongoza dola. Fitna na malumbano ni sawa na kichaa anayemcheka na kumdhihaki kichaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rasimu ya Katiba inataja Tunu za Taifa: Ni nani kati yetu anayezijua!

NImeamua leo nianze kwa kueleza kitu kinachoitwa tunu. Tunaambiwa na wataalamu wa Kiswahili kuwa tunu ni kitu anachopewa mtu na mwingine kuwa ni ishara ya mapenzi, hidaya, zawadi, adia, hiba, azizi.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Barack Obama ashuhudia mchezo kati ya Chicago Bulls na Cleveland Cavaliers

Rais wa Marekani Barack Obama alikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria mchezo kati ya Chicago Bulls dhidi ya Cleveland Cavaliers, alfajiri ya Jumatano hii kwa saa za Afrika Mashariki. Huo ulikuwa sehemu ya mechi za ufunguzi wa ligi ya kikapu ya Marekani, NBA. Obama ambaye ni shabiki mkubwa wa Chicago Bulls, alipata nafasi ya kushuhudia […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah alikosa kufanyiwa ukaguzi 2010

Medali za dhahabu alizoshinda mwanariadha wa Uingereza Mo Farah huenda ndizo zilizotawala mbio za mwaka 2012 mjini London.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani