Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni nani msaliti wa CCM kati ya waasisi wa CCJ na Lowassa

MALUMBANO hayajengi. Fitna na siasa chafu dahari ni sumu katika utendaji ndani ya serikali na chama chochote kinachoongoza dola. Fitna na malumbano ni sawa na kichaa anayemcheka na kumdhihaki kichaa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nani atazima moto wa Lowassa CCM

>Nguvu ya makundi ya watu wanaotajwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kukitikisa chama hicho huku makada wake wakitoa angalizo wakiutaka uongozi wa juu wa kuchukua hatua haraka  za kinidhamu kwa wahusika.

 

10 years ago

Mwananchi

9 years ago

BBCSwahili

Kati ya Obama na Zuma nani alikosa heshima ?

Je ukimpata mtu anazungumza kwa simu utamuamkua ama utamsubiri akamilishe mazungumzo yake kisha umpe salamu zako ?

 

10 years ago

Mwananchi

Rasimu ya Katiba inataja Tunu za Taifa: Ni nani kati yetu anayezijua!

NImeamua leo nianze kwa kueleza kitu kinachoitwa tunu. Tunaambiwa na wataalamu wa Kiswahili kuwa tunu ni kitu anachopewa mtu na mwingine kuwa ni ishara ya mapenzi, hidaya, zawadi, adia, hiba, azizi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ACT inaweza ikafa kama CCJ

SIASA ni mchezo mchafu. Kauli hii huwa inatumiwa sana na watu wengi wanapozungumzia mambo ya kisiasa! Kismsingi siasa ndiyo inayoongoza serikali ya taifa lolote. Mwaka 1992, Sheria ya kuanzishwa kwa vyama...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA VS MEMBE NANI MBABE?

Na Erick Evarist
Zikiwa zimebaki siku  218 kufikia Oktoba 20, siku ya uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mgombea wa urais kupitia chama hicho bado ni kitendawili. Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa. Kitendo cha CCM kuchelewesha kupiga kipyenga cha kuanza kwa mbio hizo, kimepandisha homa kali ya uchaguzi miongoni wa Watanania, huku kambi za waonesha nia mbalimbali zikiendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani