ACT inaweza ikafa kama CCJ
SIASA ni mchezo mchafu. Kauli hii huwa inatumiwa sana na watu wengi wanapozungumzia mambo ya kisiasa! Kismsingi siasa ndiyo inayoongoza serikali ya taifa lolote. Mwaka 1992, Sheria ya kuanzishwa kwa vyama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Oct
Sifikirii kama siasa inaweza kunilipa kama sanaa- JB
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Zitto: Nitaipaisha ACT kama Chadema
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, amesema atafanya kazi kukijenga chama Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kwa kukipaisha kama alivyofanya kazi akiwa ndani ya Chadema.
Amesema akiwa kiongozi Chadema kwa miaka zaidi ya 20 alifanya kazi ya kukijenga chama na kuhakikisha kinatoka kuwa na wabunge wanne na sasa kimepanda na kuwa na wabunge 48.
Akizungumza na waandishi wa...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
HONDOHONDO : Hata Marekani ilikuwapo ‘CCM’, ikafa
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Ni nani msaliti wa CCM kati ya waasisi wa CCJ na Lowassa
MALUMBANO hayajengi. Fitna na siasa chafu dahari ni sumu katika utendaji ndani ya serikali na chama chochote kinachoongoza dola. Fitna na malumbano ni sawa na kichaa anayemcheka na kumdhihaki kichaa...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB03 Apr
Katiba ya ACT-Wazalendo Kama Ilivyopitishwa Na Mkutano Mkuu 29Machi15
Alliance for Change and Transparency
(ACT-Wazalendo)
Chama cha Wazalendo
KATIBA
TOLEO LA 2015
View this document on Scribd![](https://pixel.wp.com/b.gif?host=zittokabwe.wordpress.com&blog=12675215&post=3528&subd=zittokabwe&ref=&feed=1)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jlmIGxG1Nuo/VMYAiQbcr1I/AAAAAAAAnJ0/9updcQY8OUk/s72-c/act.png)
ACT Walia Kiongozi wao Kuuawa......Ni yule Aliyechinjwa Kinyama na Kupikwa kwenye Sufuria kama Nyama ya Kuku
![](http://3.bp.blogspot.com/-jlmIGxG1Nuo/VMYAiQbcr1I/AAAAAAAAnJ0/9updcQY8OUk/s1600/act.png)
11 years ago
Michuzi14 Jun
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo523 Oct
Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’