Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani atazima moto wa Lowassa CCM

>Nguvu ya makundi ya watu wanaotajwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kukitikisa chama hicho huku makada wake wakitoa angalizo wakiutaka uongozi wa juu wa kuchukua hatua haraka  za kinidhamu kwa wahusika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ni nani msaliti wa CCM kati ya waasisi wa CCJ na Lowassa

MALUMBANO hayajengi. Fitna na siasa chafu dahari ni sumu katika utendaji ndani ya serikali na chama chochote kinachoongoza dola. Fitna na malumbano ni sawa na kichaa anayemcheka na kumdhihaki kichaa...

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Michuzi

HUU MOTO WA 93.7 EFM NI AKINA NANI WALIOKO JIKONI?

 DENNIS SSEBO NA  ADELLA TILLYA. 1.     12:00 HADI SAA 3:00 KAMILI ASUBUHI UNAPATA
" JOTO LA ASUBUHI" ILI KUKUANZISHIA SIKU
DENNIS SSEBO  NI NANI?

Ssebo  ni moto ama baruti ya kipekee katika masuala ya Radio, akiwa ni muhitimu wa mambo ya sheria na ana  shahada ya udhamiri katika mambo ya mawasiliano ya Umma lakini akiwa na ufahamu  na mapenzi zaidi  upande wa Radio na TV.

Ssebo amekuwa kwenye Tasnia hii kwa muda mrefu akiwa na uzoefu wa kufanya kazi Zaidi  Radio na Tv kwa muda wa miaka 15,...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA VS MEMBE NANI MBABE?

Na Erick Evarist
Zikiwa zimebaki siku  218 kufikia Oktoba 20, siku ya uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mgombea wa urais kupitia chama hicho bado ni kitendawili. Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa. Kitendo cha CCM kuchelewesha kupiga kipyenga cha kuanza kwa mbio hizo, kimepandisha homa kali ya uchaguzi miongoni wa Watanania, huku kambi za waonesha nia mbalimbali zikiendelea...

 

11 years ago

GPL

NANI NI NANI CCM (2)

WIKI iliyopita tulizungumzia kuhusu namna mambo yanavyokwenda ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hasa wakati huu nchi inapojiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani hapo mwakani. Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya makala mafupi juu ya kinachoonekana kuendelea ndani ya chama hicho tawala. Niliongelea kuhusu ukosefu wa nidhamu ndani ya chama, kwamba kila mwenye kupata nafasi ya kusema, anazungumza...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli, Lowassa nani atatufaa kwa siasa za nje?

“Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. Walimuondoa madarakani rais Saddam, hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!”.Sikuamini masikio yangu kwamba haya ni maneno yaliyotoka kinywani mwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani