Kati ya Picha Hizi Nne za Mzee Majuto Ipi ni Kali Zaidi?
PICHA ni kumbukumbu muhimu katika maisha, hufurahisha na kuburudisha na wakati mwingine uhudhunisha pia ilimradi tu maisha yanasonga mbele. Leo kutoka kwenye maktaba yetu ya picha, tumekutana hizi picha nne za mwigizaji nguli wa filamu za vichekesho hapa nchini, Amri Athuman'King Majuto' ukipenda muite Mzee Majuto alizopiga na waigizaji hawa wakike, Wema Sepetu, Riyama Ally,Kajala Masanja na Jackline Masawe “Wolper”.
Zote ni nzuri lakini wewe umeipenda ipi?
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Picha: Mzee Majuto Akiwa Katika Pozi Tamuuu na Mrembo Nisha!!!
Tahadhari: Hii sio Le Projectii, ni picha tu za kawaida ambazo katika pita pita zangu kwenye kurasa za waigizaji kwenye mitandao ya kijamii kutafuta UBUYU ndipo nikakutana na picha hizi tamu za Mzee Majuto akiwa na mrembo Nisha.
Kilichonifurahisha na kunifanya nizilete hapa ni hizi pozi zao mbili tofauti, kwanza wanaonekana kama wapo wanachombezana mara wanaonekana kama wamefumwaa…hahahaha hatari sana.
Kuthibitisha kuwa hii sio Le Project Nisha aliandika maneno haya kiutani kwenye...
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
Picha: JB ,Richie na Mzee Majuto Wakiwa Kwenye Tamasha la Amani-Mwanza
Hizi ni baahi ya picha za wasanii, Jacob Stepeh ‘JB’, Single Mtambalike ‘Richie’ , Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ na Mzee Matuto wakiwa kawenye tamasha la Amani jiji Mwanza leo hii, ambapo mbali na kuombea amani kwenye nchi yetu, tamsha hili linabeba ujumbe mzito kukemea mauaji na watu walemavu wa ngozi (Albino).
11 years ago
Tanzania Daima04 May
JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’
MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Ipi kali? Bundesliga, Serie A au Premier League
Mchezo wa soka ndio wenye mashabiki wengi zaidi duniani. Kati ya mashindano makubwa yanayopendwa zaidi ulimwenguni ni ligi mbalimbali zinazochzwa barani Ulaya. Kwa nafasi yako, je ni ipi ligi kabambe zaidi kati ya hizi? Je ni Premier League ya Uingereza? Au ni Bundesliga ya Ujerumani au ni ile Serie A ya Italia?
Kila mmoja wetu atakuwa na mtazamo na mapenzi tofauti juu ya hilo, lakini jambo moja linabaki wazi, wote tungependa kutazama mpira barani Ulaya, tena ikiwezekana BURE, bila kulipia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DS3fBDgklorUmdbBzaky6CWN1Ev2K*TXVyWwO49gFEYRkkDToG4aX1p*hbLjHbUH4SaKxJY1ThtR0vpHfKghJjPoN7hdAl6J/mzee.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO ATAPELIWA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/x93ABI42iFW29as1MN1fUZDtVmEA-aJDHbIPosQqBoANWKwI9oqq10QIvbteGTA*t3w5sXnGv-rJNVjGBsKXeARWQCn3GC*3/makka.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Ni ipi filamu bora zaidi ya 2013?