Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mzee Majuto Akiwa Katika Pozi Tamuuu na Mrembo Nisha!!!

Tahadhari: Hii sio Le Projectii, ni picha tu za kawaida ambazo  katika pita pita zangu kwenye kurasa za  waigizaji  kwenye mitandao ya kijamii kutafuta UBUYU ndipo nikakutana  na picha hizi tamu za Mzee Majuto akiwa na mrembo Nisha.

Kilichonifurahisha na kunifanya nizilete hapa ni hizi pozi zao mbili tofauti, kwanza wanaonekana kama wapo wanachombezana mara wanaonekana kama wamefumwaa…hahahaha hatari sana.

Kuthibitisha kuwa hii sio Le Project Nisha aliandika maneno haya kiutani kwenye...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘tbt’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu

Katika ule utaratibu wa watu kupost picha za zamani kwenye mitandao ya kijamii na hashtag ya ‘Throw Back Thursday (TBT) kila siku za Alhamisi , Nonini alipost picha aliyopiga zamani na Wahu wakiwa kwenye pozi za kimahaba, kitendo kilichotafsiriwa tofauti na mashabiki waliodai amemkosea heshima Nameless. Wanamuziki Wahu Kagwi na David Mathenge a.k.a Nameless wa […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Sekeseke la Panya Road: Jionee Vituko vya Mzee Majuto na Nisha

Kama mnavyojua, siku ya jana hapa jijini Dar es salaam kulikuwa na taharuki kubwa  ikiwahusisha baadhi ya vijana wanaojikusanya kwenye vikundi na kujiita Panya road  ambao huzunguka mitaani kufaya vurugu na kupora watu na huvyo kusababisha hofu kubwa kwa wakazi wa jijini hapa.

Hivi ni vituko vya waigizaji Mzee Majuto na  Nisha kwa nyakati tofauti, Mzee Majuto akiwa nje ya jiji la Dar, akionekana  “anagonga”  mchemsho wa samaki huku anaongea na simu, JB alimuwekea maneno haya kwenye picha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: JB ,Richie na Mzee Majuto Wakiwa Kwenye Tamasha la Amani-Mwanza

Hizi ni baahi ya picha za wasanii, Jacob Stepeh ‘JB’, Single Mtambalike ‘Richie’ , Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ na Mzee Matuto wakiwa kawenye tamasha la Amani jiji Mwanza leo hii, ambapo mbali na kuombea amani kwenye nchi yetu, tamsha hili linabeba ujumbe mzito kukemea mauaji na watu walemavu wa ngozi  (Albino).

 

10 years ago

Bongo Movies

Kati ya Picha Hizi Nne za Mzee Majuto Ipi ni Kali Zaidi?

PICHA ni kumbukumbu muhimu katika maisha, hufurahisha na kuburudisha na wakati mwingine uhudhunisha pia ilimradi tu maisha yanasonga mbele. Leo kutoka kwenye maktaba yetu ya picha, tumekutana hizi picha nne za mwigizaji nguli wa filamu za vichekesho hapa nchini, Amri Athuman'King Majuto' ukipenda muite Mzee Majuto alizopiga na waigizaji hawa wakike, Wema Sepetu, Riyama Ally,Kajala Masanja na Jackline Masawe “Wolper”.

Zote ni nzuri lakini wewe umeipenda ipi?

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mtoto wa Lamar (Nisha) na mtoto wa Gelly wa Rhymes (Queen) nani mrembo zaidi?

Producer wa Fishcrab, Lamar na muimbaji Gelly wa Rhymes, ni miongoni mwa mastaa wenye watoto. Bahati nzuri wawili hao wana watoto wa kike warembo kweli kweli. Na sasa tunakuuliza, nani mrembo zaidi? Nisha wa Lamar au Queen wa Gelly? Queen Nisha Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: JB Akiwa Nyumbani Kwao kwa Mzee Wake

Leo ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa  kwa mzee wake.

Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.

“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha huyo hap juu akiwa na mzee wake.

Picha huyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’

MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AKIWA KATIKA PICHA NA AFISA WA USALAMA WA UMOJA WA MATAIFA

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na Mlinzi wa Usalama katika Umoja wa Mataifa, Afisa Ally Baruti kutoka Tanzania, Mhe. Jaji Mkuu yupo hapa Umoja wa Mataifa akiongoza Jopo Huru la Wataalam wanaopitia na kuchambua taarifa mpya kuhusu kifo cha Bw. Dag Hammarskjold ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon alimteua Mhe. Jaji Mkuu kuongoza jopo hilo mwezi uliopita, ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani