Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu mpya wa CCM Arusha aweka msimamo

KATIBU mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Alphonce Kinamhala ameingia ofisini kuanza kwa kazi kwa kukataa majungu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JK aweka msimamo Mahakama ya Kadhi

Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amefafanua msimamo wa Serikali katika mjadala unaoendelea wa Mahakama ya Kadhi, na kuweka wazi kuwa Serikali haina mpango wa kuianzisha, wala kuiendesha.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kardinali Pengo aweka msimamo


Aonya matukio ya ugaidi si mambo ya dini Awataka wanaoamini wasambaze ujumbe

NA MWANDISHI WETU
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema msimamo wake kuhusu katiba inayopendekezwa, uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine.

Muadhama Polycarp Kardinali PengoAkizungumza na Chama cha Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA), hivi karibuni, Askofu Pengo alitoa wito kwa waumini kuachwa huru...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Sheni aweka msimamo bei ya karafuu


NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni, amesisitiza kuwa serikali itaendelea kutekeleza uamuzi wake wa kuwapatia wakulima bei ya karafuu ya asilimia 80 ya bei ya soko la nje.
Dk. Sheni alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakulima wa zao hilo wakati akizindua rasmi msimu wa ununuzi wa karafuu wa mwaka 2014/2015 uliofanyika katika ukumbi wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar  (ZSTC), wilaya ya Mkoani, Kusini Pemba.

Alibainisha kuwa huo ni uamuzi wa kisera na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kardinali Pengo aweka wazi msimamo wa Kanisa

Siku mbili baada ya Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kutoa waraka wa kulitaka Bunge Maalumu la Katiba kutopuuza mapendekezo ya muundo wa serikali tatu, Askofu Mkuu wa Jimbo Mkuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka na kusema msimamo huo siyo wa Kanisa Katoliki nchini.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - ARUSHA

 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia mkutano wa hadhara mjini Mondoli, mkoani Arusha..
 KATIBU Mkuu wa CCM, Kinana, akiwasha umeme, kuzindua umeme Mradi wa umeme, katika Kijiji cha Lolkisal, wilayani Monduli.

KATIBU wa halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia m,kutano wa hadhara, Mto wa Mbu, wilayani Monduli.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM Arusha - Komrade Abdulrahman Kinana

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akishiriki kupaka rangi nyumba ya mganga wa hospitali ya kijiji, iliyojengwa na wanakijiji cha Bulati. Wengine ni mbunge wa Ngorongoro,
Kaika Ole Telele (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole.
NAPE akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Nainokanoka.

KINANA akizungumza na Nape kabla ya kuhutubia wananchi wa kijiji cha Nainokanoka, kilichoko wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.

KINANA akikaribishwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA WILAYA YA NGORONGORO MKOANI ARUSHA.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (wa pili kulia)akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika Kijiji cha Sakala, wilayani Ngorongoro.Ndugu Kinana na ujumbe wake wako kati wa ziara ya siku tisa mkoani Arusha ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.  Komredi Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro, Telele kujenga vyumba vya madarasa ya kidato cha nne na cha...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA LONGIDO MKOANI ARUSHA.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi na bendera za aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Longido ambaye amejiunga na CCM kwenye mkutano uliofanyika Eworendeke.Ndugu Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wako kwenye ziara ya siku tisa mkoani Arusha ya Kuhimiza,kuimarisha na kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya ccm ya mwaka 2010 ikiwemo pia na kusikiliza matatizo ya Wananchi na kuyapatia ufumbuzi.Wananchi wa kijiji cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani