Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu Wazazi apewa likizo ya lazima

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Moshi Mjini, Zakaria Laizer amepewa likizo ya lazima ya siku 30, akituhumiwa kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Adebayo apewa likizo binafsi

Emmanuel Adebayor 30 Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham amepewa ruksa ya kurudi nchini kwao Togo kwa sababu binafsi.

 

10 years ago

GPL

NI LAZIMA WAZAZI WAINGILIE MAAMUZI YA WAPENDANAO?

NAMSHUKURU Mungu muweza wa yote kutukutanisha tena siku ya leo katika uwanja wetu wa mahaba. Najua Valentine’s Day imepita, naamini kabisa marafiki mliitumia vyema siku hiyo kuoneshana upendo wa kutosha. Bila shaka mtakuwa mmejadili na kupanga mikakati mbalimbali ya penzi lenu na kujua mnaelekea wapi. Penzi ambalo halina malengo ya baadaye halina maana.Usikubali kuishi katika penzi ambalo halina muelekeo. Fanya maamuzi,...

 

10 years ago

GPL

LOVE STORY NI LAZIMA WAZAZI WAINGILIE MAAMUZI YA WAPENDANAO?

Erick Evarist +255 768 811595 BILA shaka msomaji wa safu hii uko vizuri na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Namshukuru Mungu kunikutanisha na wewe leo hii na kuweza kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya uhusiano.
Tunaendelea na sehemu ya pili ya makala haya ambayo ndiyo hitimisho la mada hii:

Kwa kuwa wazazi ndiyo wa kwanza kuliona jua, wameona vitu vingi, wamejifunza mengi, wanapaswa kukupa...

 

9 years ago

StarTV

 Katibu tawala Kigoma apewa siku 2 kukamilisha uchunguzi  Tuhuma Za Ubadhirifu

 

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mhandisi John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia taarifa ya maandishi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma unaohusisha uuzwaji wa jengo la KIGODECO na viwanja 12 vya Manispaa ya Kigoma/Ujiji ambao unadaiwa kukiuka taratibu.

Waziri Mkuu Majaliwa Ametoa agizo hilo mjini Kigoma wakati akizungumza na viongozi na watendaji mbalimbali wa mkoa huo alipokuwa akifanya majumuisho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI


Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi

Mzee Mwinyijuma Said Muhigira akimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Saa usinga, mundu na shoka ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uchifu wa Mkoa wa Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Katibu Wazazi mbaroni kwa fedha za Saccos

 Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, George KamwelaJESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Katibu wa Jumuiya ya Wazazi wilayani ya Handeni mkoani Tanga, Ali Balo kwa tuhuma za upotevu wa zaidi ya Sh milioni 7 za chama cha akiba na mikopo (SACCOS) cha jumuiya hiyo wilayani Siha mkoani hapa.

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI WAMPA LIKIZO JB

Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’. Imelda Mtema LIKIZO! Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa amelazimika kujipa likizo ya lazima kwa kutofanya shughuli za sanaa hadi pale uchaguzi utakapopita. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, JB alisema ameamua kusimama kazi zake za sanaa kwani kwa sasa kila mtu anawaza mambo ya uchaguzi na hakuna chochote anachoweza kufanya kikapokelewa bila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maandalizi ya likizo ya uzazi

MOJA kati ya mambo yanayomsaidia mzazi, hasa mwanamke ambaye ameajiriwa, ni likizo ya uzazi anayopatiwa pale anapojifungua. Yapo masharti mengi yanayoendana na likizo ya uzazi, lakini kwa mujibu wa sheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani