Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katoni 138 za maziwa zakamatwa

KATONI 138 za maziwa ya unga ya kopo aina ya Nura kutoka Oman, yamekamatwa yakiingizwa nchini kupitia njia za panya wilayani Tarime.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Katoni 117 za pombe za viroba zateketezwa

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Rachel KassandaMWENGE wa Uhuru umeteketeza katoni 117 za pombe za viroba, zilizopigwa marufuku kuuzwa na kutumiwa nchini.

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.

DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele (kushoto) akitembelea banda la Shirika la Heifer International Tanzania katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Mfugaji wa Shrika la Heifer, Emannual Mgesi (aliyevaa Kaunda suti nyekunde) akimweleza Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Joh Henjewe pamoja na wakazi wengine wa Musoma kuhusu ufugaji bora wa ng’ombe wakati wa maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Meneja wa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AZINDUA WIKI YA MAZIWA, KUANZISHA KAMPENI YA KUKAGUA WANAOKUNYWA MAZIWA YA UNGA

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema itaanzisha kampeni ya kukagua Ofisi za Umma na binafsi ambazo zinatumia maziwa ya unga badala ya maziwa halisi yanayotengenezwa nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega leo jijini Dodoma wakati akizindua wiki ya maziwa nchini ambayo itafanyika hadi Juni 1.

Naibu Waziri Ulega amesema ni jambo la aibu kuona watanzania wakitumia maziwa ya unga na kuacha yale yanayotengenezwa na watanzania wenzao jambo ambalo amesema...

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

 

9 years ago

GPL

MABASI 138 YA BRT YATUA DAR


Sehemu ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yaliyowasili katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafiri katika kipindi cha mpito kwenye miundombino ya mfumo wa mabasi yaendayo haraka (BRT)kuanzaia mwezi ujao.

Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki akijaribu basi la Mradi wa Mbasi Yaendayo Haraka (DART), alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea...

 

9 years ago

Habarileo

Mabasi 138 ya mradi wa BRT yawasili Dar

TATIZO la usafiri katika Jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua baada ya mabasi 138 ya Mradi wa mabasi Yaendayo Haraka (BRT) unaotarajiwa kuanza kazi Oktoba 2 mwaka huu kuwasili katika Bandari ya Dar es Salaam yakitokea China.

 

9 years ago

Mwananchi

Mabasi 138 yaendayo haraka yatua Dar

Mwezi mmoja baada ya kuanza kutolewa kwa mafunzo kwa madereva maalumu, awamu ya kwanza ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) imewasili nchini kutoka China.

 

9 years ago

TheCitizen

BRT service set to commence as 138 buses arrive

A total of 138 buses for the Bus Rapid Transit (BRT) project arrived at Dar es Salaam port yesterday, setting the stage for the start of the grand public transport scheme next month.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani