Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaya 300 zatakiwa kuondoka eneo la reli Tazara

MAMLAKA ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), imetoa notisi ya kuondoka kwa zaidi ya kaya 300 zilizovamia eneo la reli kuanzia Dar es Salaam hadi Tunduma, mkoani Mbeya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kikwete, Lungu kuzungumzia uboreshaji wa reli ya Tazara

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zambia, Edgar Lungu wanakutana mjini Lusaka, Zambia pamoja na mambo mengine, kuzungumzia uboreshwaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara).

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzania na Zambia zadhamiria kufufua Reli ya TAZARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Zambia kwa ajili ya mazungumzo rasmi na Mwenyeji wake Rais Edgar Lungu ( mwenye suti ya kijivu aliyesimama mbele ya Rais Kikwete) Rais Lungu akimkaribisha Rais Kikwete (hayupo pichani kuzungumza) Mhe. Rais Kikwete akizungumza wakati wa mazungumzo rasmi na Rais Lungu na Ujumbe wake katika Ikulu ya Zambia. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi wa reli kutoa ajira 300,000

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema Sh trilioni 14 zinatarajiwa kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha ‘standardgauge’, mradi ambao utakuwa ni mkubwa kutekelezwa na Serikali tangu ilipopata Uhuru.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaya 12,300 kunufaika na miradi ya Sh5 bil Chamwino

Wakazi 12,280 wilayani Chamwino mkoani Dodoma wamenufaika na ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyogharimu kiasi cha Sh5 bilioni kutoka Shirika la Kimataifa la Serikali ya Korea Kusini la Good Neighbours International (GNI).

 

10 years ago

GPL

AJALI YA GARI ENEO LA TAZARA

Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara. Polisi akilitazama gari lililopata ajali eneo la tukio. Pichani juu na chini Wananchi wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Tazara.…

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI RELI WASAFISHA ENEO LA STESHENI JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Bodi ya TRL, Severin Kaombwe (kulia),  akihojiwa na wanahabari katika stesheni ya Posta jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni  Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la reli Eng. Elias A. Mshana. Wafanyakazi wa TRL wakijiandaa kuchukua vifaa vya kufanyia usafi eneo la stesheni.…

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA UCHUKUZI ATEMBELEA ENEO INAPOJENGWA RELI MPYA YA KISASA YA STANDARD GAUGE

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka,akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu Rwanda, Rwakunda Christian,wakati walipotembelea ujenzi wa reli mpya ya kisasa, iliyoanza kujengwa Mkoani Pwani, katika eneo la Soga. Muonekano wa ujenzi wa reli mpya wa kisasa Standard Gauge, ambayo inaendelea kujengwa katika eneo la soga mkoani Pwani.

 Muonekano wa ujenzi wa reli mpya wa kisasa Standard Gauge, ambayo inaendelea kujengwa katika eneo la soga mkoani Pwani.IMG...

 

9 years ago

Michuzi

TANROADS NA KAMPUNI YA SUMITON MITSUI CONSTRACTION CO. LTD WASAINI MKATABA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA YA JUU ENEO LA TAZARA LEO JIJINI DAR

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala kwa mbele ya wadau wa ujenzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mara baada ya kukutana na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly over) eneo la Tazara jijini Dar es Salaam mkataba uliosainiwa kati ya Tanroads na kampuni ya Sumiton Mitsui Constraction Co. LTD ya nchini Japan mkutano uliofanyika  jijini Dar es Salaam leo.Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani