Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaya zaidi ya 177 zaishi mapangoni Ulanga

>Zaidi ya kaya 177 zinaishi kwenye mapango, huku watoto 350 wakikosa nafasi ya kwenda shule baada ya wananchi wa Kijiji cha Mbangayao kuhamishwa katika kijiji chao na kupelekwa kijiji kipya cha Isaka kwa madai kuwa eneo hilo ni msitu wa hifadhi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tasaf kuzinufaisha zaidi kaya masikini

Watanzania waishio kwenye kaya masikini watanufaika na ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) baada ya tathmini iliyofanywa katika awamu tatu za mwanzo zilizohusisha baadhi ya wilaya nchini, kuonyesha mafanikio makubwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watu watatu, kaya zaidi ya 70 zakosa makazi

Watu watatu wamefariki dunia na familia zaidi ya 70 zimekosa mahala pa kuishi, huku mifugo zaidi ya 150 ikisadikiwa kufa baada ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Arumeru mkoani Arusha.     

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YARAHISISHA UPATIKANAJI WA MAJI BUKOBA, KAYA ZAIDI YA 18,103 SASA KUNUFAIKA

Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawiro akizungumza na wananchi wa mtaa wa Kisindi waliojitokeza katika uzinduzi wa vilula vya maji, leo.

Na Allawi Kaboyo, Bukoba
Kaya Zaidi ya 18,103 zenye wakazi wapatao 90,517 Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera zinatarajia kunufaika na upanuzi wa mtandao wa maji kutokana na ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa kwa thamani ya shilingi bilioni 2.4 hadi kukamilika kwake.

Taarifa ya utekelezaji wa mradi huo imetolewa na mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanakijiji waishi mapangoni (1)

Utajiuliza mara mbili mbili pale utakaposikia ama kuona binadamu wa karne ya 21 tena katika ardhi ya Tanzania, wananchi wake kuishi maisha kama ya wakimbizi au kulala usingizi wenye mashaka, tena chini ya mapango ya majabari ya mawe kama wanyama wasio na makazi maalum.

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA CHILDBIRTH SURVIVAL INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA KAYA ZAIDI YA 50 JIJINI DAR


Mkurugenzi wa Shirika la Childbirth Survival International (CSI),nchini Tanzania Stella Mpanda(katikati) akitoa msaada wa vyakula kwa moja ya wakazi wa Kata ya Mazizini jijini Dar es Salaam leo Mei 2 mwaka 2020.Msaada huo ni kwa ajili ya kuziwezesha kaya za watu wasiojiweza katika kipindi hiki cha janga la Corona.Kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mazizini Mussa Komba.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mazizini Mussa Komba akikabidhi msaada wa vyakula kwa mwaanchi wa Kata ya Mazizini...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA

 Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF, Eugen Mikongoti akifungua kikao kilichowashirikisha wenyeviti wa bodi na makatibu wa Vituo Vya Afya, Zahanati na Hospitali wa Manispaa ya Temeke juu ya mpango wa bima ya afya kwa kayo iliyofanyika leo jijni Dar es Salaam. Meneja wa Mkoa wa Temeke wa NHIF, Costantino Makala akitoa maada katika kikao hicho leo latika ukumbi wa Temeke jijini Dra es Salaam.wa katikati ni Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF,Eugen Mikongoti Kushoto ni Mganga...

 

10 years ago

Habarileo

‘Msidanganywe, gharama za kuunganisha umeme ni 177,000/-’

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard NdassaMWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa amewaambia wakazi wa kata ya Ibihwa iliyopo Bahi mkoani Dodoma kuwa gharama za kuunganishiwa huduma ya umeme zimeshuka hadi Sh 177,000.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni

SAM_0215

Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.

SAM_0229

Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani