Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Msidanganywe, gharama za kuunganisha umeme ni 177,000/-’

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard NdassaMWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa amewaambia wakazi wa kata ya Ibihwa iliyopo Bahi mkoani Dodoma kuwa gharama za kuunganishiwa huduma ya umeme zimeshuka hadi Sh 177,000.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yashusha gharama za kuunganisha umeme vijijini

Serikali imetangaza kupunguza gharama za kuunganisha umeme kutoka Sh177,000 za awali hadi Sh27,000 vijijini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yashusha gharama za kuunganisha umeme vijijini

Serikali imetangaza kupunguza gharama za kuunganisha umeme kutoka Sh177,000 za awali hadi Sh27,000 vijijini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matapeli wa kuunganisha umeme waibuka

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limewataka wananchi kuwa makini na  utapeli unaofanywa na baadhi ya watu ambao wanawarubuni wanaotaka kufungiwa umeme katika makazi yao kwa kuwadanganya kwamba wanaweza kuwasaidia kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme siku moja

SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati akizungumza na menejimenti ya Tanesco mkoa wa Mwanza katika ziara yake ya kukagua miradi ya umeme.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme ndani ya siku 7

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi mpya ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa mteja mpya anapoomba umeme anafungiwa ndani ya wiki moja.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua

Na Teresia Mhagama Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na kuipa vipaumbele vya utekelezaji wa majukumu vitakavyotekelezwa na Bodi hiyo kabla ya kufikia ukomo wake mnamo mwaka 2017. Uzinduzi wa Bodi hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Ulihudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele,...

 

11 years ago

Mwananchi

Umeme kupandisha gharama

Wachumi mbalimbali wamebashiri kuibuka kwa mfumuko wa bei wa vitu mbalimbali, kutokana na kupanda kwa bei ya umeme inayoanza leo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika kuivaa Tanesco gharama za umeme

Mbunge wa Ubungo ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika ametoa wito kwa wananchi walioathirika na kupanda kwa bei ya umeme kutoa mapendekezo na kueleza athari wanazozipata.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani