Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yashusha gharama za kuunganisha umeme vijijini

Serikali imetangaza kupunguza gharama za kuunganisha umeme kutoka Sh177,000 za awali hadi Sh27,000 vijijini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yashusha gharama za kuunganisha umeme vijijini

Serikali imetangaza kupunguza gharama za kuunganisha umeme kutoka Sh177,000 za awali hadi Sh27,000 vijijini.

 

5 years ago

CCM Blog

WANANCHI KIGOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPELEKEA UMEME WA GHARAMA NAFUU

Ofisa Huduma kwa Wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel Matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA

CCM Blog, Kigoma
SHIRIKA la Umeme Tanesco kupitia idara yake ya masoko imeendesha kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Kigoma kuchangamkia fursa ya kuwekewa umeme wa REA ambao mkandarasi bado anaendelea na kazi kwenye vijiji mbalimbali mkoani hapa.
Elimu hiyo iliyoanza kutolewa kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

‘Msidanganywe, gharama za kuunganisha umeme ni 177,000/-’

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard NdassaMWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa amewaambia wakazi wa kata ya Ibihwa iliyopo Bahi mkoani Dodoma kuwa gharama za kuunganishiwa huduma ya umeme zimeshuka hadi Sh 177,000.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WA KIGOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPELEKEA UMEME WA BEI NAFUU

Na mwandshi wetu, KigomaSHIRIKA la umeme Tanesco kupitia idara ya masoko imeendesha kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Kigoma juu ya kuchangakia fursa ya kuwekewa umeme wa REA ambao mkandarasi bado anaendelea na kazi kwenye vijiji mbalimbali.
Elimu hiyo iliyoanza kutolewa kwenye mkoa huo wili hii  imewafikia wanakijiji wa  vijiji vya Kigoma  ambapo baadhi ya wananchi wameishukuru serikali kwa miradi hii ya kuunganishiwa umeme wa bei nafuu kwani inachangia maendeleo ya kiuchumi.
Vijiji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaitaka Spencon kumaliza kazi ya usambazaji umeme vijijini kwa muda sahihi

IMG_1883

Msafara wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani ukikagua ujenzi wa kituo kipya cha mjini Singida cha kutawanya umeme kilovoti 400 wa gridi kutoka nchini Kenya na Tanzania. Kituo hicho kitasambaza umeme kutoka Singida kwenda mkoa wa Iringa na Shinyanga.

IMG_1910

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (wa kwanza kushoto mwenye miwani) akizungumza na maafisa kutoka ofisi na madini kanda ya kati  mkoa wa Singida na wa wilaya ya Manyoni, kwenye ofisi ya Mkuu wa wa wilaya...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yaja na 'Tourist pack' yashusha gharama za simu na Intaneti kwa Watalii

 Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na  Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi hu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Daressalaam  Mkurgenzi mtendaji wa Airtel...

 

10 years ago

Habarileo

IPTL yashusha bei ya umeme

Sethi SinghKAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.

 

10 years ago

Michuzi

IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) imetangaza kufikia kwa punguzo la bei ya umeme la asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo huo ya masaa 36,000 ikifanya kazi, zoezi iliyokamilika ndani ya mwanka 2014. IPTL pia imetangaza kuwa bei yao ya umeme ikitarajiwa kushuka zaidi kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta mazito. 
Marekebisho hayo yaliyotumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani