Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KCB yazindua Akaunti ya taasisi za kijamii nchini

001.JP

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania, Godfrey Ndalahwa  akiongea na wadau wa Taasisisi za kijamii(hawapo pichani)wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la kuwaelimisha wadau hao jinsi ya kujiunga na Akaunti ya kijamii isiyokuwa na makato. Akaunti hiyo ni kwaajili ya Taasisi mbalimbali za Kijamii ,zikiwemo mashule,NGO,Vikoba,Saccos. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

07

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania, Godfrey...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua kampeni ya akaunti za mishahara

Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Andrew Lyimo (katikati), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya akaunti za mishahara iliyopewa jina la ‘Mcheza Kwao’ yenye lengo la kuhamasisha wafanyakazi kuchukulia misharahara benki. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa benki hiyo, Irene Peter na Meneja Malipo ya Mishahara na Maendeleo, Amos Lyimo. Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kushoto),...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni kuhamasisha akaunti ya Amana ya malengo.

Benki ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha wateja wake kufungua akaunti ya amana ya malengo (Fixed Deposit Account) ikiwa sehemu ya mpango wa benki hiyo kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba miongoni mwa watanzania.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma lililopita, Meneja Bidhaa wa Benki hiyo, Bw Aloyse Maro alisema lengo kuu la kampeni hiyo ni kukuza utamaduni wa kuweka akiba hapa nchini ili kuongeza tija kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

TPB YAZINDUA HUDUMA MAALUMU YA AKAUNTI KWA VIKUNDI VISIVYO RASMI

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEC), Beng’I Issa, (kushoto), akikata utepe kuzindua huduma maalum ya akaunti ya vikundi visivyo rasmi, jana.

KATIKA  jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji  wa Shirika la Uwezeshaji Tanzania, Beng’I Issa katika viwanja vya Shule ya Msingi Osterbay, Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TPB yazindua huduma malaamu ya akaunti kwa vikundi visivyo rasmi

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEC), Beng’I Issa, (kushoto), akikata utepe kuzindua huduma maalum ya akaunti ya vikundi visivyo rasmi, Juni 24, 2015.

Katika jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi.

Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji  wa Shirika la Uwezeshaji Tanzania, Beng’I Issa katika viwanja vya Shule ya Msingi Osterbay, Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

benki ya posta YAZINDUA KADI ZA AKAUNTI KWA WANACHAMA NA MASHABIKI wa SIMBA NA YANGA

 Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa (wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Simba waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kadi za akaunti za benki hiyo kwa ajili ya wanachama na mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga leo katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es salaam  Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Bw. Deo Kwiyukwa akimkabidhi mtangazaji Ephraim Kibonde wa Clouds FM mfano wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano

Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha  wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake  kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.

Washiriki wakimsikiliza...

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya faridas foundation yazindua mradi mpya wa TADEPUGRA

Taasisi ya faridas foundation imezindua mradi mpya utakaojulikana kwa jina la Tanzania Development Projects for Unemployed Graduates (TADEPUGRA) lengo likiwa ni kufungua milango kwa wahitimu wa ngazi mbali mbali wasio na ajira hapa nchini, Mradi huu utanufaisha vijana zaidi ya 100 ikiwa ni kuwaajiri ndani ya taasisi na kuwawezesha kuanzisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo, pia itatoa tuzo kwa waandishi mahiri 10 watakaoshinda kuandika muswaada (proposal) wa miradi ya kijamii. 
Form za...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa

Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money na Wakala kuokoa muda wa kupata na kutoa huduma kwa haraka Zaidi. ===========  ==========Wateja Airtel Money...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani