Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keino asikitikia riadha ya Tanzania

Katika vitu ambavyo bara la Afrika haliwezi kuvisahau ni uwakilishi mzuri wa mkimbiaji maarufu wa zamani, Kipchoge Keino raia wa Kenya aliyewahi kung’ara katika riadha kimataifa miaka ya 1960 hadi 1980 na kushinda medali nne za Olimpiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwanariadha mkongwe, Keino aishauri Tanzania

Mwanariadha mkongwe wa Kenya, Kipchoge Keino ameishauri Tanzania kujirekebisha katika maandalizi kama inahitaji kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa.

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015

Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano  ya  mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania  Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa riadha Tanzania wakubali makosa

Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeshindwa kupeleka wanamichezo kwenye mashindano ya Afrika ya riadha yaliyomalizika wiki iliyopita jijini Marrakech, Morocco na kushirikisha wanariadha 600 kutoka mataifa 47.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPATA MEDALI YA FEDHA KATIKA MASHINDANO YA RIADHA, SWAZILAND

Mwanariadha wa Polisi Tanzania Fabian Nelson (kushoto) akishangilia na wanariadha wenzake kutoka Zimbabwer baada ya kuvalishwa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili katika mbio za kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland.nafasi ya kwanza na ya tatu ilikwenda kwa wanariadha kutoka Jeshi la Polisi la Zimbabwe(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Swaziland).

 

11 years ago

Michuzi

RT WAMPONGEZA WAZIRI MEMBE KWA KUUNGA MKONO KUENDELEZA RIADHA TANZANIA

Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka , akizumgumza na Waandishi wa Habari mjini Morogoro kutoa pongezi na kumshukuru Waziri Membe .
Na John Nditi, Morogoro
RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony  Mtaka  amemshukuru Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe  kwa kuanzisha diplomasia ya michezo na nchi za nje pamoja  na kufadhili maandalizi ya wanariadha 40 na makocha sita.
Wanamichezo  na makocha hao wanapelekwa nje kwa ajili ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Riadha taifa ni aibu

Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Ndivyo ilivyokuwa kwenye mashindano ya taifa ya riadha yaliyoanza jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Riadha wajichimbia Keko

WANARIADHA wa timu ya taifa itakayoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow, Scotland kuanzia Julai 23 hadi Agosti 3, wamepiga kambi eneo la Keko, jijini Dar es Salaam huku...

 

10 years ago

Mwananchi

Shujaa wa riadha asiyesahaulika

Miongoni mwa viongozi watakaokumbukwa katika sekta ya michezo nchini, bila shaka huwezi kuacha kumtaja aliyewahi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Kwanza (CDF), Jenerali Mirisho Sarakikya aliyefanya kazi wakati wa utawala wa Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 

9 years ago

Habarileo

RT: Mikoa inaua riadha

RIADHA Tanzania (RT) imeitupia lawama mikoa kwa kushindwa kuendeleza mchezo huo nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani