Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KENYA KUANZISHA KITENGO MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO

Bwana. Keriako Tobiko Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma ya nchini Kenya Bwana. Keriako Tobiko ametangaza kuanzishwa kwa kitengo maalumu kitakacho pambana na  uhalifu mtandao katika ofisi yake. Amedai hatua hii imefikiwa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya uhalifu unaofanywa na wahalifu wenye uelewa wa teknolojia.


"Kwa mtazamo wa kuongezeka kwa uhalifu wa mtandao, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka wa Umma (ODPP) imeanzisha kitengo maalumu kusimamia mashtaka ya wahalifu wa mtandao," Tobiko...





Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KAMANDA CP SABAS AKUTANA NA KOKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MTWARA

    Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia  Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.
   Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ulinzi...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC kuanzisha kitengo maalum kuhakiki taarifa za wapigakura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inatarajia kuzindua dawati la huduma kwa wateja ambapo wananchi watatumia kuthibitisha kumbukumbu zao baada ya zoezi la uhakiki wa taarifa kutofanyika kwa watu wengi.

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA CP SABAS AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MKOANI MTWARA KUIMALISHA ULINZI NA USALAMA MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI.


Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo. (PICHA...

 

10 years ago

Ykileo

UCHAMBUZI: NJIA ZA KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO

Suala la hivi karibuni la nchini Israel la kiusalama mitandao linaloweza kusomeka "HAPA", Polisi wanchi ya Botswana kuonyesha wasi wasi wao juu ya maswala ya usalama mtandao kama inavyoweza kusomeka "HAPA" pamoja na matukio mengine kadhaa ya uhalifu mitandao ambayo yamekua yakigonga vichwa vya habari hivi sasa yameibua swali, je kuna uwezekano mapambano dhidi ya uhalifu kufikiwa malengo kwa kupunguzwa walau kwa kiasi Fulani?


Jibu ni kwamba hivi sasa uhalifu mtandao umeendelea kukua huku...

 

10 years ago

Ykileo

GHANA YAJIPANGA KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO

Moja ya udhaifu mkubwa unao kumba mataifa mengi hasa barani Afrika ni kutokua na mikakati ya uzuizi na endelevu dhidi ya uhalifu mtandao. Imethibitika kua Nchi nyingi zimekua zikingoja tatizo litokee ndio jitihada zinachukuliwa kutatua tatizo huku athari ikiwa imeshaonekana.


Mwaka huu baada ya Nchi ya Ghana kua miongoni mwa waathirika wa uhalifu mtandao ambapo  mtandao mkuu wa serikali ya nchi hiyo inao hudumia tovuti 58 za serikali ulidukuliwa na kusababisha tovuti 11 kuingiliwa na...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI ZAUNGANISHA NGUVU KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO.

Maswala ya udukuzi yameendelea kushika kasi katika maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo mataifa mbali mbali yameamua kuunganisha nguvu ya pamoja kupambana na uhalifu mtandao. Katika "UCHAMBUZI" nilio uandikia nilibainisha umuhimu wa kupata chombo kimoja chenye jukumu la kupambana na uhalifu mtandao ambacho kitatoa nguvu kubwa ili kuweza kukabiliana na hali mbaya ya uhalifu mtandao hivi sasa.
Kundi jipya lenye makao yake barani ulaya linalounganisha pamoja nchi wanachama wa bara ulaya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama kuanzisha kitengo cha habari

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kuna haja ya kuanzisha kitengo cha habari ili kuwasaidia waandishi kupata taarifa sahihi. Alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa...

 

11 years ago

Habarileo

CDA yatakiwa kuanzisha kitengo cha walemavu

Dk Rehema NchimbiMAMLAKA ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imetakiwa kuona umuhimu wa kuanzisha kitengo kitakachoshughulikia watu wenye ulemavu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama Kuu kuanzisha kitengo cha utatuzi

Idala ya Mahakama inatarajia kuanzisha Kitengo cha Mahakama Kuu Dar es Salaam kitakachoshughulikia masuala ya utatuzi wa mashauri ya kesi za madai kwa njia ya suluhu ili kupunguza mlundikano wa kesi na kuchelewa kumalizika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani