Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC kuanzisha kitengo maalum kuhakiki taarifa za wapigakura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inatarajia kuzindua dawati la huduma kwa wateja ambapo wananchi watatumia kuthibitisha kumbukumbu zao baada ya zoezi la uhakiki wa taarifa kutofanyika kwa watu wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

KENYA KUANZISHA KITENGO MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO

Bwana. Keriako Tobiko Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma ya nchini Kenya Bwana. Keriako Tobiko ametangaza kuanzishwa kwa kitengo maalumu kitakacho pambana na  uhalifu mtandao katika ofisi yake. Amedai hatua hii imefikiwa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya uhalifu unaofanywa na wahalifu wenye uelewa wa teknolojia.


"Kwa mtazamo wa kuongezeka kwa uhalifu wa mtandao, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka wa Umma (ODPP) imeanzisha kitengo maalumu kusimamia mashtaka ya wahalifu wa mtandao," Tobiko...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama kuanzisha kitengo cha habari

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amesema kuna haja ya kuanzisha kitengo cha habari ili kuwasaidia waandishi kupata taarifa sahihi. Alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

11 years ago

Habarileo

CDA yatakiwa kuanzisha kitengo cha walemavu

Dk Rehema NchimbiMAMLAKA ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imetakiwa kuona umuhimu wa kuanzisha kitengo kitakachoshughulikia watu wenye ulemavu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama Kuu kuanzisha kitengo cha utatuzi

Idala ya Mahakama inatarajia kuanzisha Kitengo cha Mahakama Kuu Dar es Salaam kitakachoshughulikia masuala ya utatuzi wa mashauri ya kesi za madai kwa njia ya suluhu ili kupunguza mlundikano wa kesi na kuchelewa kumalizika.

 

9 years ago

Habarileo

NEC: Wapigakura halali ni mil. 22.7

SIKU 12 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani nchini, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebainisha idadi kamili ya Watanzania wanaostahili kupiga kura siku ya Oktoba, 25, mwaka huu), kuwa ni milioni 22.7 na si milioni 23.7 ya awali.

 

11 years ago

Mwananchi

Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa

Pamoja na kushindwa kutaja tarehe rasmi ya kuanza kuboresha daftari la kudumu la wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema daftari hilo litaboreshwa kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani